Tuandike kauli za kichochezi za upinzani (matusi) VS kauli za watawala kwa wananchi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Habari,

Naomba tuainishe kauli au matusi na uchochezi wa upinzani na pia kauli kama hizo toka kwa viongozi.

Tunajua upinzani hukamatwa je watawala nani atawaadhibu?

Upinzani:
1. Dictator uchwara
2. Mkabila na mdini na mkanda
3. Mbaguzi
4. Afungwe breki
5. Anaropoka
6. Wa kupuuzwa
7. Wa kupingwa na wapenda demokrasia
8. Anavunja katiba
9. Mdini
10.hataki kukosolewa
11. Anapenda front pages
12. Hakuna uhuru kiasi hicho
13.........

SERIKALI

1. Wapumbavu
2. Malofa
3. Upinzani utakufa
4. Marufuku mikusanyiko ya upinzan
5. Mliochagua upinzani mtakoma hii ni serikali ya ccm ila mlipe kodi
6. Sipangiwi
7. Dc na rc weka ndani 48hrs
8. Hakuna nyongeza ya mshahara tunahakiki
9. Sitoi chakula kama kufa mfe
10.nk
 
Mkapa anawatukana Watanzania kila akishika kipaza sauti,sijui lini atakamatwa kwa uchochezi,au yeye siku akisema raisi mtumbafu?! Raisi wa TFF lakini aliowajengea uwanja wa Taifa!!!!
 
hatumtambui rais aliyeshinda....ila tunataka kuonana na rais by tundu lissu


ipo siku rais atawaambia watanzania watembee uchiii by mdee
 
SERIKALI
11. Serikali haina shamba na sitatoa msaada wa chakula
12. Asiyefanya kazi asile, AFE.
13. Serikali haikuleta tetemeko kwa hiyo haitamjengea mtu nyumba iliyobomolewa na tetemeko
14. Hizo hela zitatokea popote palipo na tundu
15. Mtu anaweza kupotea lakini hela haitapotea kwenye utawala wangu
 
rasi magufuli ni rais atayeendesha nchi kwa miaka mitano tuu!!

Huoni ameanza kampeni toka mwaka jana? Halafu tena ameweka ma-DED makada watiifu unadhani ni kwa sababu gani?

Anaishi kwa kuogopa kivuli kuliko maneno yanavyoweza kueleza.
 
Back
Top Bottom