Tuandamane Aisee! Ubungo Tanesco Isivunjwe...

zahaki

Member
Nov 10, 2013
35
25
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
 
Wajinga mnaongezeka kila siku
 
Anza Kwanza kuonyesha mfano Wewe kwa Kuandamana ili ukitoshatolewa Bandama na Kolomelo basi na Sisi pia tutakuunga mkono.
 
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Ningekuelewa kama ungesema kile kipindi cha watoto wanalala nje kimara na kwinginepo kwa Tanesco kaandamane tu
 
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Ulivyotaja tu kuandamana, ni kajua we utakuwa ni mfuasi wa chama gani.

Anyway , hakuna anaependa kuona likivunjwa, ila kama utatoa mbinu mbadala tukapata flyover pale ubungo bila kuathiriwa na uwepo wa gorofa lile, nakushauri utiririke hapa huenda wazo lako likafanyiwa kazi haraka sana.

Kama huna wazo mbadala, ukikaa kimya nafikiri itapendeza sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom