Tuambizane waungwana

Aug 17, 2009
60
4
Mke/mume /gal or boyfriend anafanya kazi na wenzie weengi ila anakuwa na ukaribu na mdada/mkaka ambaye anamsifia sana kuwa ni mchapakazi na wako kaaribu haswaa.Kazini wako ofisi 1 na wanashinda kutwa nzima wote ila wakitoka kazini wanachat mpaka saa 4 ucku na wkend ndo kuutwa nzima,hivi hawa watu hawamalizagi kazi mpaka waendelee kuchat mpaka hom?
 
Back
Top Bottom