toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,107
Siku ngapi??? Hiyo si ni mafuta tu ya kwenda kazini na kurudi kwa siku moja.
Matumizi gani kwanza unayozungumzia?
how and why??week 1
Duh!!!Wewe utakuwa wa uswazi mambo ya vidagaa vya jero na mafuta ya 200.week 1
~~~~>>>Hata mafuta haitoshi...Siku ngapi??? Hiyo si ni mafuta tu ya kwenda kazini na kurudi kwa siku moja.
Si ndio mpka uwe na gari sasaSiku ngapi??? Hiyo si ni mafuta tu ya kwenda kazini na kurudi kwa siku moja.
Upande wangu siku mbili
Duh!!!Wewe utakuwa wa uswazi mambo ya vidagaa vya jero na mafuta ya 200.