Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Katiba ya wana CCM wataifuata au wataifuata hiyo waliyoibomoa 2017?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,588
20,890
Naomba kujuzwa tu maana nijuavyo ccm walikuwaga na utaratibu wao maalum kwa mujibu wa katiba yao,wale wenye nia walikuwa wanachukuwa form na kupigiana kura ndani ya chama chao.je wataifuata katiba ya chama chao au la....
 
Majina yatapitishwa nakamati husika,kwa ngazi ya kata,jimbo na taifa,hakutakuwa na utaratibu wa kuzungunguka kwa wanachama kwani huo utaratibu ulitumika vibaya na makachero uchwara wa upinzani kupandikiza mamruki.
Una kingine kinacho kukekereta?.
 
Naona kama mwendo huo utawanyima haki baadhi ya watu wenye nia ya kugombea kama watanzania wenye vigezo na haki ya kimsingi pia,hauni hii ni kama dosari kwa chama?
 
Back
Top Bottom