Tuambiwe wazi kuwa kuibia serikali ni njia halali ya kujiingizia kipato | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuambiwe wazi kuwa kuibia serikali ni njia halali ya kujiingizia kipato

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invarbrass, Nov 23, 2011.

 1. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nikitafakari hali ya mambo serikalini na jinsi mali ya umma inavofujwa na wachache na hatua legelege zinazochukuliwa dhidi yao naona kimtindo tumehalalisha wizi wa mali ya umma. Tatizo uhalali huo ni kwa wachache. Kwakuwa inaonekana ni vigumu(sio kinadharia ila kivitendo) kukomesha ubadhirifu bora wote tuambiwe kuwa nisheria ruksa kukwapua mali ya umma. Maana haka kasheriaambako hakajaandikwa kanaonekana kuwasaidia wachache.
   
Loading...