Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Kama mada inavyojieleza ni njia ya kupata mawasiliano ya kufahamu ni bidhaa gani imepanda bei zaidi kuliko kawaida ndani ya Tanzania najua wahusika wataupitia Uzi huu na kuufanyia kazi
Kwa Leo tuzungumzie bei za vyakula najuwa Ujumbe utawagusa wengi haksante.
Kwa Leo tuzungumzie bei za vyakula najuwa Ujumbe utawagusa wengi haksante.