Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

Warundi waje jukwaani hapa wakague kama kweli kwenye haya majina akuna tusi,wabongo sisi kwenye matumizi ya media ni noma,duh!.
 
Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
Didier Mbabentingirwa
 
Chaud

Screenshot_20220821-123919_Translate.jpg
 
Back
Top Bottom