Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
Pamba kilo ni tsh ngapi?pamba, alizeti, n.k
Pamba kilo ni tsh ngapi?pamba, alizeti, n.k
Serikali inakosea sana inapojaribu kupunguza mfumuko wa bei kwa kumtwisha msalaba mkulima
Ishu ni kuongeza uzalishaji na kufanya biashara kwa kuweka mikakati na vipaumbele madhubuti sio kufunga mipaka na kuwatia wananchi umasikini
Wenzetu wanakazana kuwekeza kwenye kilimo kuongeza uzalishaji na kuuza ziada nje, sisi tunakazana kufungia kidogo tulichopata sijui ni akili ya wapi hii..
Alafu kwa staili hii tunataka kuwa nchi ya viwanda tutapata wapi raw materia?
Viongozi wetu wako karne ya 9 wakati dunia iko 21st Century.[/QUOTE
Kweli mkuu, halafu wapo maofisini wakilinda vibarua vyao kwa kila hali huku wanasisitiza vijana wakajiajiri kwenye kilimo!.shame on them!
Mkuu, kwa kanda hii ambapo kilimo cha pamba kinafanyika kwa sababu za kijiografia, nadhani kulikuwa na bei elekezi, na msimu ulikwisha.Pamba kilo ni tsh ngapi?
Hivi debe la kawaida linapokuwa limejaa mahindi linakuwa na kilo ngapi ili tuangalie bei kwa kilo? Na pia debe moja la mchele uwa ni kilo ngapi likijaa?
Ahsante kiongozi. Karibu mujini.Kwa makadirio ya chapu chapu debe la mahindi ni around kilo 15-18 mkuu inategemea na mahindi yalivyo. Mchele inacheza kilo 18-22 mkuu.
Ahsante kiongozi. Karibu mujini.