Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

Mwaka ukiwa unaishia hivyo kwa wapenzi wa burudani yaani music na wale wa bata batani, viwanja.

Hebu weka top 3 yako hapa ya ma dj waliofanya powa na kukurusha kama sio kukukonga nyonyo na hata kupelekea unywe bia nyingi kama sio kitimoto kilo 2..
Ni vizuri pia tukikumbuka mchango wa hawa watu sio kila siku wasanii. Tu
Kwangu ni hawa.
Dj kidylux- (wasafi fm &tv)
Dj delvick- (wasafi fm &tv)
Dj summer -( East Africa tv&radio)

Bonus
Dj scratch designer (clouds).
Cc Times9 ,
Kwangu DJ John Dillinga Matlou Aka DJ JD ni DJ bora wakati wote!
Weloveoldskul #Weloveflashback
#Tumetokambalipamoja #Morogorohotel #Shimoni #Mamboclub#ClubBillicas #Billz # HyattyLKilimanjaroHotel#The SynergyLounge #IsumbaLounge #ClubLegends
 
Yeah yeye ni mzee wa flashback sijawahi sikia anapiga bongo fleva labda huwa anapigae

Halafu ile Club legend ni ya kwake?
Licha ya kupiga old skool, lakini pia jd unaonaje uwezo wake? Unauelezeaje?
Anapiga namna gani?
 
Dj D-ommy- anajua sana kuset vibe..

Djscratchdesigner- Good mixing and scratch
Dj D ommy huwa habahatishi mkuu yule ni international sema playlist nyingi anarudiaga sana. Vipi kule simba Day jana naskia alikuwepo? Je na sinyorita nae alileta vibe?
Scratch designer niliwahi kumshuhudia hapa Dodoma aliwahi kuja, jamaa anajua kumix sana na ngoma za moto

Yaani sio lazima akupigie zinazotrend ndo ucheze, hata kuna zingine huzijui lakini utacheza tu
 
Yeah...D ommy anarudia sana ngoma sema selection zake zinakuwaga perfect..akiamua kupiga slow jams basi hapo zitapigwa best slow jams only.

Sinyorita hana mixing skills ila jana aliamsha kinoma alichagua ngoma za kuamsha jukwaa..mfano mikasi ya Ngwair aliipiga akaamsha kinoma hapo kwa Mkapa,Simbaday.
 
Dah kama alipiga hiyo ngoma basi alifanya kwikwi sio powa kabisa..
Inamaana wakati wa kumix nyimbo ndio huwa panamshinda sinyorita?

Kwanini asimuambie ommy amfundishe? Nilikuwa naskia pia sinyorita anapiga amapiano pia.

Vipi mkuu sound waliyokuwa wamefunga ilikuwa ni ya clouds? Au walitoa madj tu? Maana naskia wana mziki sio wa kitoto.
 
Nadhani kuna vitu ni kama talent..hata ukifundishwa bado hautaweza kuwa perfect.

Kuhusu sound iliyofungwa kwa Mkapa sina uhakika sana..ila Clouds kama ndo waliosimamia entertainment nadhani ndo waliorecommend na huo mziki..
 
Anapiga zile za kuchangamsha halafu kwenye playlist yake haikosekani Hakuna Mungu kama wewe na ule wimbo wa Zabron Singers nadhani unaitwa nimeuona.
Ukiona zinapigwa nyimbo hizo ujue ishafika saa tisa, wa kazini asubuhi mjiandae mwondoke.
Jana hata Simba day alipiga hakuna Mungu kama wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom