Mkuu uzi huu hujautendea haki, hiyo mipango angalau ungekuwa unaijua ungekuwa kama unanzisha.
Mkuu naona umeamua ku-update thread zako zote! Anyway, wanahihujumu nchi kwa kutorosha wanyama wetu kama hawa hapaView attachment 125096View attachment 125097Mengi yamepita thread ipo...inataka magamba waandikwe.