Tuambiane: Mpango mpya wa CCM kuhujumu nchi na mabadiliko

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Wana body ingefurahisha sana kama tungeweza weka list ya mambo yanayopangwa na CCM kila kukicha ktk juhudi yao ya kuongeza kurefusha maisha na kuhujumu taifa.Hii itasaidai kufuatilia yote ktk shemu moja.
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,180
1,250
Mkuu uzi huu hujautendea haki, hiyo mipango angalau ungekuwa unaijua ungekuwa kama unanzisha.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Mkuu uzi huu hujautendea haki, hiyo mipango angalau ungekuwa unaijua ungekuwa kama unanzisha.
yeah ni kweli..ni kwa vile ninayoyafahamu yameandikwa sehemu nyingi humu ndani na watu wengine.Pia isingekuwa busara kuyachuka na kuyaleta hapa.pengine watu wakileta mapya itakuwa vyema.Ni rahisi sana kupredict vitu kama watu wataweza unganisha dots km trend inayokwenda.
 
Top Bottom