Tuahirishe Uchaguzi Mkuu mwaka huu pesa zote tuelekeze kwenye kuzuia janga hili la Virusi vya Corona

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Rai yangu kwa Serikali hasa Mh Rais Magufuli

Sioni sababu yoyote ya kuendelea na Uchaguzi Mkuu mwaka huu wakati hatujajua hili janga la Corona litaisha lini

Naomba Serikali kuahirisha Uchaguzi wa Madiwani,Wabunge na wa Rais na pesa zote zielekezwe kwenye kupambana na virus vya Corona.

Nawasilisha

Alex Fredrick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom