Albert Mangwea (Special Thread)

Halafu hii tabia ya kufichaficha mambo inaudhi kweli. Kumbuka taarifa za mwanzo za kifo chake ni kuzidisha madawa kisha ukafuatia ukimyaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtu anakufa kwa madawa .. Maisha yake kiula mtu alikuwa anaona kuwa ni mtu wa madawa pia riport ya kifa chake ilikuwa ni madawa hayo hayo. Leo anakufa kila mtu anasikitiunakuwa kama msiba wa kitaifa.... Huu ni Upuu....zi na uzandiki mkubwa. Mnatoa fundisho gani kwa vijana wadogo.
 
mnatafuta mazuri ya ngwear, aisee kama jambo mtu haujui ni vyema ukakaa kimya waulizeni wadau wa kwenye music industry watawambia, jiulize ushawahi sikia ngwear ana beef na mtu katika maisha yake yote ya kimziki? jamani hili nalo sio zuri lakuiga kutoka kwake? ngwear amefanya collabo nyingi sana na wasanii wenzake wale wakubwa na wadogo je hili nalo sio jema la kuiga kutoka kwake? tafuteni ngoma inaitwa "jisachi" ya diamond aliyomshirikisha ngwear ni ngoma ya miaka hiyo kabla ya "nenda kamwambie" pamoja na umaarufu wake aliokuwa nao alifanya nyimbo na daimond hii yote ni katika kuhakikisha ana ananyanyua vipaji vidogo

lakini pia hata kazi sikilizeni album yake ya kwanza "aka mimi" ni one of the best hiphop album in tz kuanzia miaka hiyo hadi sasa kuna nyimbo nyingi zenye ujumbe wa kuelimisha jamii kama vile "aka mimi" iliyokuwa ikizungumzia kuhusu ukimwi, kuna "nisikilize" iliyokuwa ikihamasisha wanawake kujituma na kufanya kazi kwa bidii

jamani jamani tumtendee haki ngwear skendo zake za kusema alikuwa anatumia madawa ya kulevya zisiondoe mazuri yake aliyowahi kufanya swala la hukumu tumuachie mungu. ngwear ameondoka na skendo ya kutumia unga sawa ila embu tujiulize ni wangapi wanaondoka na maskendo makubwa na machafu kimya kimya? wangapi wanakufa huku wanadate na wanaume/wake za watu? wangapi wanakufa wakiwa wapokea rushwa wakubwa?

R.I.P ALBERT MANGWEHA
 
Hii tabia ya kuwa mna
msifia mtu anapo kufa tuiache MANGWEA hakuwa mtu mzuri ninaimani watu
alio washawishi kuingia kwenyekundi la kutumia madawa ni wengi sana,
kama tulikuwa tunampenda kwa kiasi hiki, mbona tulimuacha na hakusaidiwa
kama RC?,

acha kufikiri kama hutumii akili yako,kwani mazuri yako ni yepi?Hata Hitler alikuwa ana mazuri yake japo alikuwa ni dikteta.
Wewe ni lazima utakuwa Ruge Mutahaber
 
Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear

Alitamani angekuwepo sema tu alikuwa kwa akina Nitashika Yakonyuma, akirudi lazima afike Moro...
 
Acha kuropoka mkuu... Taarifa ya kufa kwa madawa umeitoa wap????

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Simply Ngweir amekufa kwa overdose ya heroin...

Ningekuwa mwanafamilia ningesoma report ya postmottum pale makaburi ili vijana wajifunze...

Unafki huu ulimshinda Nelson Mandela na kuamuwa kutangaza pale makaburini kwamba mwanaye alikufa kwa ukimwi.

Jiandaneni kwa majonzi zaidi kama hawa ndio role model wenu.....

View attachment 96788
 
no one is perfect ..hata wew una mabaya yako...na kuhusu taarifa za Ngwea kufa kwa madawa huyo ni uzushi...m2 the p hatumii madawa na mbona alipotea fahamu?wabongo achen ushamba wa kuzusha zusha...R.i.p Ngwea
 
no one is perfect ..hata wew una mabaya yako...na kuhusu taarifa za Ngwea kufa kwa madawa huyo ni uzushi...m2 the p hatumii madawa na mbona alipotea fahamu?wabongo achen ushamba wa kuzusha zusha...R.i.p Ngwea

ndio maana nikasema watu hawajui lolote kazi yao kuropoka tu
 
Nawewe ni lazima utakuwa mtumia madawa

acha bif na Ngwea alishasema yeye kwake ni "NO bifu" usitake bf nae bro kwan ye yuko juu zaid yako...hata iweje huwez mfikia...utakufa na wivu...mwenzio had wanamzk wa marekan wamemtakia pumziko la aman lakin wew ukifa hata balozi wa nyumba 10 hata hudhuria mazishi yako....
 
Hizo nyimbo zake mnazo ziita nzuri zirimsaidiaje zaidi ya kumfikisha hapoalipo fika? acheni unafiki Biblia inasema, (maana ni afadhali Mbwa alie hai kuliko Simba aliye kufa MHUBIRI 9:4-6) pamoja na nyimbozake lakini alikuwamfu kiroho.liwe funzo kwetu
 
ndio maana nikasema watu hawajui lolote kazi yao kuropoka tu

kweli luno...watu hawajui nini kimetokea...mtu anaishi manzese afu ngwea kafia south lakin anajikuta anaujua undani wa kifo na wakat waliokua south wenyew hawajui....M2the p ndo mjuaj wa yote...so tumsubirie siku afunguke
 
Hizo nyimbo zake mnazo ziita nzuri zirimsaidiaje zaidi ya kumfikisha hapoalipo fika? acheni unafiki Biblia inasema, (maana ni afadhali Mbwa alie hai kuliko Simba aliye kufa MHUBIRI 9:4-6) pamoja na nyimbozake lakini alikuwamfu kiroho.liwe funzo kwetu

acha kumhukumu binadam...we biblia unaijua lakin haikusaidii...chin ya jua hakuna mwenye haki ya kumhukum mtu ...kaz ya hukum ni ya Mungu mwenyew...usiingilie majukum yasiyokuwa yako....fanya yako bro
 
Nimesikitishwa sana na huu uzi pamoja na baadhi ya comments za wadau. Kuna watu humu wanajifanya wao ni watakatifu kiasi cha kunyooshea vidole wengine na pia kumlaumu marehemu. Ngwair ni mmoja wa mamilioni ya watz wahanga wa hayo madawa. Kwanini tulaumu wanywaji wa vilevi huku tukisifia viwanda vinavyotengeneza hivyo vilevi?
 
Hata mm nilikuwa nashangaa inakuwaje mla unga anazungumziwa na kuzikwa kama shujaa!! tunapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?
Mangweha alihitaji ushauri nasaha kabla mauti hayajamkuta na sio kumpongeza baada ya kufa tena kwa kifo cha aibu.
 
kweli luno...watu hawajui nini kimetokea...mtu anaishi manzese afu ngwea kafia south lakin anajikuta anaujua undani wa kifo na wakat waliokua south wenyew hawajui....M2the p ndo mjuaj wa yote...so tumsubirie siku afunguke

waache wazungumze wengi hapa ngwear mwenyewe wameanza kumsikia baada ya kifo
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom