Albert Mangwea (Special Thread)

Hizo sefuria za ubwabwa mbona kama utani?
Inasikitisha ambavyo kijana huyu amethaminiwa baada ya kifo. Kati ya haoashabiki ukiuliza wangapi walishawahi kuhudhuria show ama kununua genuine album, utachoka. Sijui tukoje.

naunga hoja mia kwa mia na pia alipokuwa teeeeee wangapi walimsaidia???
 
Binadamu kwa kuigiza nimenyanyua mikono juu...Sasa hivi wana uchungu sana na kikubwa zaidi ni kujionyesha.....embu watu wabadilike, upendo wa dhati uonekane mtu akiwa hai .

Igwe like this.....
 
Mmmhh
Sauda Mwilima hapo tena na nguo yenye
kuonyesha maungo ni nini msibani.

yaani katika watu amabo hawajitambui na wamegoma kujitambua ni huyo dada, sasa ni nini hiko amevaa? basi tutasema marafiki hawamshauri juu ya uvaaji wake, na mume/ndugu zake je? hakuna anaeweza kumwambia huyu dada ukweli jamani?
 
Kila nafsi itaonja mauti,......

Rest In Peace Albert.

yaani hiki ni kipindi kigumu kuliko vyote maishani aise, kwa mama kumzika mtoto wake, uchungu wake sijui huwa unapoaje aisee, Mungu ndio anajua, RIP Albert, ni mmoja kati ya wanamuziki ninaowapenda sana!
 
Hii tabia ya kuwa mna msifia mtu anapo kufa tuiache MANGWEA hakuwa mtu mzuri ninaimani watu alio washawishi kuingia kwenye kundi la kutumia madawa ni wengi sana, kama tulikuwa tunampenda kwa kiasi hiki, mbona tulimuacha na hakusaidiwa kama RC?
1622454777500.png
 
Kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.
 
kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.

Acha kuropoka mkuu... Taarifa ya kufa kwa madawa umeitoa wap????

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jiulize kwanza kaz ya Ngwea ilikuwa ipi??moja ya mazur aliyoyafanya ni katuburudisha sana na nyimbo zake tena sana hayo ni mazur.Ni mmoja kat ya wasanii ambao nilikuwa napenda sana kusikiliza nyimbo zake hayo ni mazur mkuu au unataka mazur yap?Kingine fwatilia 80% ya wanamzik dunian kila mtu anaskendo zake.Ngwea angekuwa anaimba nyimbo za dini hapo tungemraumu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
unamwonea ngwear muache apumzike kwa amani kaka yetu kipenzi kwani kuna watu walimshawishi kuingia huko na sidhani kama alizaliwa na madawa hayo,nadhani vita ya madawa ya kulevya ndio linatakiwa litiwe kipaumbele kwani viongozi wengi na watu maharufu wanauza madawa ya kulevya kwaiyo WE MUST FIRSTLY DEALS WITH PUSHER AND THEN PULLERS.

RIP AMINA CHIFUPA.
 
Shida yetu Watanzania ni UNAFIKI na kupenda kuambiwa maneno matamu huku ukweli TUNAUKATAA.

Hawa watoto tabia zao tunazijua. Tuachane na marehemu, keshaenda, sasa hivi tunaye huyu Diamond anayetoboa masikio na kuvaa ------ yako nje. Hakuna anayemkemea, ni kumsifia na kumsujudia kila anapopanda jukwaani. Siku atakapokufa, ndio tunakumbuka kuwa Mungu ni mkubwa kuliko Diamond na hapo hapo tunasahau kwamba Mungu haamrishwi.

Haka kamsemo kenu kachafu ka R.I.P kwa watu ambao uchafu wao u dhahiri ni masihara. Ni vyema kumuombea rehema na sio kumwambia Mungu amuweke mahali pema peponi. Kuna mmoja wetu ana mchango wa tofali kwenye ujenzi wa hiyo pepo?

Na wewe Black Bat, unapoambiwa matatizo yako dawa ni kuyaacha na sio kutafuta mifano kwenye matatizo ya mtu mwingine. Kama Michael Jackson hakuwa mwema sio kigezo cha Mtanzania mwenzetu Diamond kuweka ------ nje na kujichubua.
 
Last edited by a moderator:
Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear

Na ningemshangaa angekwenda kuzika wahuni akaacha kazi yake ya safari zisizo na mwisho wala maslahi. Tusikengeuke tukawa kama wazungu, kwa akili kama hizi ndio leo tuna Sir Elton John ambaye ni mke wa mtu. Naye akifa, mtataka heshima kwake
 
kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.

You are truly masculine. That idiot died drunken lakini hilo watu hawalioni. Mshahara wa dhambi ni mauti, hili ndio tunastahili kukumbushana. Badala ya kumuombea rehema mwenzetu na kukumbushana kuacha mambo yasiyofaa, watu wapo bize kujistify upumbavu uliomuua.

Kama maiti yake ingecharazwa viboko, jamii iliyobaki ingeelewa vyema kuwa kufa ukiwa umelewa ni kufa kipumbavu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom