Tuacheni ujinga, unafiki na mihemko. Afande Sele aachwe asisumbuliwe kabisa

Fine tuned universe inathibitisha
Inathibitisha nini, kivipi?

What is fine tuned? Fine tuned by what definition? Why?

Must highly improbable events only be designed?

Even if they are designed, how does that prove that they are designed by an all knowing, all capable and all loving God?

What about the problem of evil? If there is a God as described above, why did he not fine tune evil out of this world?
 
Hiyo paragrafu ya tatu umedanganya, kwani hukusikia au hukuelewa kwamba alimkusudia Mungu wa Magufuli na Watanzania kwa ujumla? Hilo la kwanza

La pili; unasema aachwe na uhuru wake fine, ila mbona yeye anatusimanga sisi Watanzania (Waafrika) pamoja na Mungu wetu na matusi mazito juu kwamba tume/tunapumbazwa na walioleta elimu ya kuhusu Mungu aliowaita "wazungu"

La tatu; huyo mwenzako mbona alishaweka clear kwamba ajitokeze yeyote amwombee mabaya kwa "Mungu" halafu aone kama yatamfika/yatampata (tena alitaja kabisa aombewe kifo- maana yeye ameona kifo ndo adhabu ingemfaa zaidi kwa maovu yake hayo, kasahau kuwa adhabu zipo nyingi). Wewe ndo ujidai kumtetea hapa kwamba unajua zaidi kuliko yeye aliyeturuhusu kumlaani!!!? Ajabu sana

Mwisho; hizo dini zetu na Mungu wetu mnaemdharau ndo zinatufundisha tupambane kwa nguvu zote kuhakikisha hazitiwi mdomo, mkono wala roho ya uchafu wowote kama huo aliouleta huyo unayemtetea (tena umekiri kabisa kuwa alichofanya si katika maadili mema). Kwa mantiki hiyo kusema tunampambania Mungu mara ooh sijui nini!? haikuhusu usitufokee wala nini acha tupambane na wewe pambana kivyako otherwise wewe tulia tu kaa kwa kutulia ukisubiri majibu
 
Kuna video jamaa mwingine kapost Whatsapp amenukuu aya anasema Waislamu wamsamehe Afande Sele kashaomba msamaha, mashehe wasiwe wakali waseme na watu kwa upole.

A very touching and compassionate side of Islam. Nimeipenda.

Hapo ndipo utajua Uislamu una sura tofauti.
Huwa nakuchunguliaa nabaki kusema tu moyoni na leo naweka wazi kuwa wewe hutakufa ila mpaka utakapokuja kucomfirm hapa kuwa umesilimu. Pia kuna wenzako wengine humuhumu nao huwa nikiwazoom naona kabisa hao watakufa vivyohivyo walivyo maana wamepania (wamenuia) kabisa juu ya wanalolifanya... kikubwa uzima na muda tu

(nionavyo mimi binafsi)
 
Hiyo paragrafu ya tatu umedanganya, kwani hukusikia au hukuelewa kwamba alimkusudia Mungu wa Magufuli na Watanzania kwa ujumla? Hilo la kwanza

La pili; unasema aachwe na uhuru wake fine, ila mbona yeye anatusimanga sisi Watanzania (Waafrika) pamoja na Mungu wetu na matusi mazito juu kwamba tume/tunapumbazwa na walioleta elimu ya kuhusu Mungu aliowaita "wazungu"

La tatu; huyo mwenzako mbona alishaweka clear kwamba ajitokeze yeyote amwombee mabaya kwa "Mungu" halafu aone kama yatamfika/yatampata (tena alitaja kabisa aombewe kifo- maana yeye ameona kifo ndo adhabu ingemfaa zaidi kwa maovu yake hayo, kasahau kuwa adhabu zipo nyingi). Wewe ndo ujidai kumtetea hapa kwamba unajua zaidi kuliko yeye aliyeturuhusu kumlaani!!!? Ajabu sana

Mwisho; hizo dini zetu na Mungu wetu mnaemdharau ndo zinatufundisha tupambane kwa nguvu zote kuhakikisha hazitiwi mdomo, mkono wala roho ya uchafu wowote kama huo aliouleta huyo unayemtetea (tena umekiri kabisa kuwa alichofanya si katika maadili mema). Kwa mantiki hiyo kusema tunampambania Mungu mara ooh sijui nini!? haikuhusu usitufokee wala nini acha tupambane na wewe pambana kivyako otherwise wewe tulia tu kaa kwa kutulia ukisubiri majibu
Mungu wa watanzania kwa ujumla ni yupi? Mungu wa magufuli ni yupi unayemfaham wewe umlete hapa na athibitishe?
 
Tunahesabu ndani ya siku saba. Je asipokufa? Dini zenu zipi hizo? We Dini yako ni ipi?😁😁😁😁 Ina mungu ambaye ni weak inabidi umpambanie?
 
Mungu wa watanzania kwa ujumla ni yupi? Mungu wa magufuli ni yupi unayemfaham wewe umlete hapa na athibitishe?
Nimekwambiya andika hapa jamvini ili umuone huyo Mungu tunayemtetea hapa.

Wewe Mungu unayesema umeumba dunia na vilivyomo .

Wewe Mungu ambaye ukisema kitu kuwa kina kuwa.

Wewe Mungu uliyewatuma mitume yako.

Adam.
Nouh.
Daudi.
Ibrahim.
Mussa.
Yesu.
Muhammad.

Ewe Mungu unayesema una malaika wako wakuu.

Gibraela.

Michaela.

Israfila.

Israela..

Mimi komeo la chuma nasema wewe ni mwongo na haupo na hakuna Mungu..
Wala huna uwezo wowote kwangu.

Kama upo kweli basi nionyeshe kesho nisiimalize duniani...

Mkuu wewe andika tu.quote AMIN...
 
Alichokosea sele ni kutukana tu... Lakini swala kutokuwepo kwa Mungu hilo lipo wazii
 
Ni kweli kabisa wamwache huyu mwendawazimu, kwanza kumjadili huyu mwanaharamu ni upuuzi pia hasa wewe mleta mada.
 
KILA mtu ana mungu wake mungu wake sele ameshindwa timiza matakwa ya sele,hawa mashehe wamekosea Sana wanakwenda aibika kama alivyoaibika mzee wa upako aliposema waandishi watakufa ikifika April waliondika habari zake akizozana na jirani zake.Mungu wa sele sio Allah wala Jehovah hapa mashehe wameonyesha upeo mdogo,angemtaja Mungu wao hapo SAwa.kama Mungu wa sele ni jua au bange na ameshindwa timiza matakwa ya sele hao wanaomuombea laana wanaomba kwa Mungu yupi.
Uko sawa kabisa
 
Umesema vyema. Afande Sele kama watu wengine anayo nafasi ya kumwabudu Mungu au kumkufuru. Muhimu ni kujua kuwa amemkufuru mungu yupi? Kama ni mungu yeyote toka katika miti, mawe au majini sina shaka atabaki salama wala hakuna kitisho cha Shehe wala askofu kitamfika na kumpatia adhabu. Lakini kama ni Mungu muumbaji wa nchi yaani yeye aliyesema NIKO au Yahwe, tunamwachia aamue na chochote kwa faida ya wokovu wa Afande Sele au kwa dunia kupata funzo kupitia kilichotokea. Si jambo jipya hili, katika Biblia kuna mtu mmoja anaitwa Gideoni aliwahi kwenda kuangusha na kuvunjavunja madhabahu ya mungu Baali. Soma Waamuzi 6:28 Hata watu wa mji walipoondoka asubuhi na mapema, tazama, madhabahu ya Baali imebomolewa, na ile Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwa, na yule ng'ombe wa pili ametolewa sadaka juu ya ile madhabahu iliyojengwa. Baali alikuwa mungu wa hawa watu na walimuabudu lakini alibomolewa na Gideoni ili wamwabudu Mungu wa Mbinguni. Sasa watu walipoona amevunjwa wakasema kwa vyovyote vile huyu atakuwa Gideoni (Maana alivunja usiku naye ndiye alikuwa anawaambia waache kuabudu Baali) na wakaenda kumshitaki kwa baba yake. Baba yake unajua aliwajibuje? Waamuzi 6:31 Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake. Ninataka kusema nini sasa; mwacheni MUNGU ajitetee kama ndiye aliyetukanwa, na kama ni mungu Baali aliyetukanwa Afande Sele ataendelea kupeta tu.
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Ukiweza kuthibitisha kimantiki mimi sina tatizo kukubali Mungu yupo.
Mkuu siku ya mwisho nakusikitikia sana kwa moto wa jehenam utakao kuchoma
 
Back
Top Bottom