• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tuacheni Uafrika tuingie Utanzania aka Utanganyika.

Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,611
Points
1,250
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,611 1,250
Hapa Tanzania kumekuwa na itikadi ya kuutukuza uafrika kitu ambacho hakipo kwenye kusadikika ni dhana tu iliyobuniwa na Wazungu ingawa ilisaidia kutuwekea mipaka. Tunautukuza Uafrika wakati hatuitukuzi Tanzania.

Huko Afrika kwengine yaani nchi zingine zilizomo humu Afrika haziitukuzi Afrika Wanatukuza na kuzitaja nchi zao katika maendeleo ,ila hapa Tanzania utasikia sana viongozi wa serikali na hata wa vyama vya siasa wakiitukuza Afrika kuliko Tanzania au ni lazima waitaje Afrika pale wanapotuzuga.

Huu si wakati tena wa kung'ang'ania Afrika kiumoja ,kila mtu anaruka na bawa lake ,ukiangalia mikutano ya Kenya huoni kuitaja afrika ,ni wao na nchi yao na si Kenya tu ,huwasikii kusema sisi Afrika tuna hiki na kile tumejaaliwa haya na yale hawana upumbavu huo kwani huko ni kutawaliwa kimawazo na kifikra.

Natoa wito kwa Watanzania wote wajinasibishe na Nchi yao ,wajilabu na nchi yao na waitaje na kuiweka nchi yao mbele
kuliko Afrika ,kuna wale walio na mawazo mgando wanaosema waafrika ni watu weusi huo sio ukweli ni uwongo mkubwa kuliko uwongo wowote ule hapa Duniani ,hivi india hakuna watu weusi ,Sri Lanka hakuna watu weusi ,huko kuna watu weusi kuliko wajaluo unawaona meno tu yaani hata macho yao yamejaa weusi.Huku kusema Afrika ni mtu mweusi ni moja kati ya ujinga tuliojazwa nao na hilo lisikubalike.

Ukiangalia Jumatano na Alhamisi ni siku moja ila hapa tumezifanya mbili tofauti wakati Alhamisi ni kiarabu likiwa na maana ilele ya Tano.Huoni kama tumeburuzwa ?

Tanzania inahitaji kuendelezwa kwa Utaifa wake na sio Uafrika.
 
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,350
Points
1,500
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,350 1,500

You are a disillusioned man Mwiba. as patriots, our specific countries ALWAYS come first, then Africa then the world, if you jumble this order up then you are honestly stupid or you are still living in the 1890s before the berlin conference gave us the borders that we are embracing now. stop lying to yourself and to us that Tanzania prioritizes African issues before her own agenda, if its true then that is a stupid move and your leaders need psych evaluation because thats no way to lead a country.
 
Forum statistics

Threads 1,403,476
Members 531,219
Posts 34,424,383
Top