Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,356
- 11,502
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.
Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.
Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi