Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,728
2,000
Sawa ukweli ni kua, Kipara ngoto ni mwizi kwa ushahidi hata wa wazi, hata huyo Da mange wenu alishathibitisha wizi wa kipara na dada and kwa aliyekua shemeji yake mzungu muitaliano
hajawahi kukanusha kuhusu ile clip ya audio ya x-shemeji yake muitaliano aliyemtapeli kuwa atamuunganisha na Ikulu ya enzi za mkwere!
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
822
1,000
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.

Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.

Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi
Bora umeamua kuusema ukweli halisi, Big up mkuu!
 
omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
950
1,000
January ni mpumbavu kwelikweli,huyu anaishia kwa kuwekeza mitandaoni na uchawi uliotukuka
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,485
2,000
Mtoa mada sio jukumu lako kuwapangia watu cha kusema, sio uongo kusema Makamba ni smart kichwani huu ni wakati wa kuambiana ukweli.
Sasa mbona wewe unanipangia cha kusema na kunichagulia kipi unachoona wewe ni kweli na ninachoona uongo? Inawezekana katika watu wako yeye akawa smart. Hilo sikatai ila kwa mimi na watu ninaokuwa nao karibu jamaa ni mtupu kichwani.
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
10,259
2,000
Januari mtu mmoja wa hovyo kabisa, sema ana chawa wengi mno wanaonufaika kwa kumpamba.
 
zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,264
2,000
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.

Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.

Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi

WhatsApp Image 2021-11-19 at 07.48.01.jpeg
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
15,676
2,000
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.

Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.

Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi
Mwenye akili sana ni Dr Kalemani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom