TUACHE

Jan 21, 2018
35
33
Haya ndo matokeo halisi ya shule zilizozagaa mitandaoni kuwa zimekuwa za mwisho katika mitihani ya kidato cha nne 2020.

1. S 3110 Chingungwe ina div I 1, II 1, III 8, IV 27, 0 2. Na imeshika nafasi ya 21/33 na 669/986.

2. S 3727 Malocho divI 0, II 1, III 0, IV 24, 0 24. Imeshika nafasi ya 109/109 kimkoa na 3894/3956 kitaifa.

3. S 4469 Nywelo ina div I 1, II 2, III 5, IV 13, 0 6. Imeshika nafasi ya 32/79 kimkoa na 711/986 kitaifa. (Tanga)

4. S 3718 Naputa ina div I 1, II 4, III 7, IV 37 0 3. Imeshika nafasi ya 65/109 kimkoa na 2505/3956 kitaifa.

5. S 4100 Salama ina div I 0, II 1, III 3, IV 26, 0 15. Imeshika nafasi ya 108/109 kimkoa na 3784/3956 kitaifa.

6. S 3704 Chanikanguo ina div I 1, II 1, III 2, IV 31, 0 13. Imeshika nafasi ya 104/109 kimkoa na 3563/3956 kitaifa.

7. S 3434 Mtiniko ina div I 1, II 4, III 4, IV 52, 0 9. Imeshika nafasi ya 91/109 kimkoa na 3250/3956 kitaifa.

8. S 1435 Michiga ina div I 0, II 5, III 12, IV 27, 0 8. Imeshika nafasi ya 51/109 kimkoa na 2123/3956 kitaifa.

9. S 1655 Msimbati ina div I 0, II 2, III 5, IV 33, 0 9. Imeshika nafasi ya 99/109 kimkoa na 3500/3956 kitaifa.

10. S 4888 Lukokoda s/s ina div I 0, II 1, III 5, IV 15, 0 2. Imeshika nafasi ya 27/33 kimkoa na 737/986 kitaifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom