Tuache utani viongozi hawajui umasikini wa mtanzania

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Wana jamii forum tuache utani na tuweke itakadi pepeni viongozi wa tanzania hawajui umaskini wa mtanzania? Na kama wanajua ualisia basi wana furahiya watanzania kuwa masikini.
Amini amini nakuambieni kuna watanzania wengi hawajawai kulalia magoro karne hii na wala hawaze kuogea maji safi tena wengi sana lkn viongozi wanaishi kwa raha na kukejeli watanzania hawa hawa ambao ni masiki
 
Ndugu yangu walituambai "Tule majani lakini DEGE la Rais lazima lipatikane"Kwenye lile BUNGE LAO laKatiba ya Chenge walikuwa wanajadili zaidi Matusi kulika facts,leo tunalazimishwa eti tupigie kura ya ndogo.Mh sielewi pia....
 
Wana jamii forum tuache utani na tuweke itakadi pepeni viongozi wa tanzania hawajui umaskini wa mtanzania? Na kama wanajua ualisia basi wana furahiya watanzania kuwa masikini.
Amini amini nakuambieni kuna watanzania wengi hawajawai kulalia magoro karne hii na wala hawaze kuogea maji safi tena wengi sana lkn viongozi wanaishi kwa raha na kukejeli watanzania hawa hawa ambao ni masiki

kwan october mbali
 
Cha kunishangaza masikini hao hao ndio watu wa kwanza kuipigia kura Ccm na mikoa yao imetajwa tayari
Nadhani kuna vichembe hai vya laana vinafanya kazi miongoni mwa jamii yetu.
Watu maamuzi magumu hawafanyi wabebaki kulalama tu,hawaoni wenzetu nigeria wamefanya maamuzi?
 
Mkuu kuna utafiti ulifanyika na unaonyesha kuwa tanzania ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na watu waliyo dumaa na kulemaa akili kwa hiyo nasifikiri ndio karata wanayoitumia viongozi
 
Lowasa kwa mfano anajua namna ya kuwaibia watz masikini ndo maana anatumia fedha nyingi na chafu kufanya uhuni wa kununua watz
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom