dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,084
- 742
kiasi fulani nakubaliana na wewe ila kwa tz hilo bado lipo mbali sanaHofu yako "labda" ina mantiki....
Lakini umesahau jambo moja, kuwa, MAJIRA na NYAKATI ndizo huamua matukio chini ya uso wa dunia.....
Majira na nyakati zikiruhusu, hakuna kinachoweza kuzuia GOLIATH asiangushwe chini na DAUDI tena kwa silaha dhaifu kabisa.....
Mkoloni mwingereza alikuwa na nguvu sana KIFEDHA na KIJESHI lakini kwa kuwa MAJIRA na NYAKATI havikuwa upande wao, waliachia Tanganyika mikononi mwa wazawa....
Vivyo hivyo ktk chaguzi hizi za sasa barani Afrika Tanzania ikiwemo, chochote chaweza kutokea...
Malawi juzi imetokea. Why not Tanzania?....Wait and see...
hasa ukiitazama ile mihimili
kuanzia bunge mahakama polisi jeshi tume ya uchaguzi mh!!! unatokea wapi huo upinzani
labda jumuiya za kimataifa ziingilie kati
mfano tazama znz tu
walitamka hawaitoi kwa makatasi na kweli haikutoka