Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,997
- 173,638
Wazee hawang’oki kirahisi sababu wanajiongezeaga miaka ya kudumu kwenye ac na mishahara 😅 huku vijana mkitakiwa mkajiajiri!Na wakifanikiwa kuwaonyofoa wazee pale TTCL basi wawanyofoe na wazee waliopo BOT wale ndo kikwazo PAYPAL ifeli hapa nchini.