Tuache utani,sera ya kodi si rafiki kwa mfanyabiashara wa Tanzania wala mfanyakazi

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,453
Wakuu ukitembelea nchi kama Namibia,Senegal,Botiswana,zambia utagundua kua kufanya biashara Tanzania ni kupoteza muda mana sera ya kodi Tanzania ni mbaya sana,yaani tanzania unalipa kodi ambayo inakata mpaka mtaji,kwa upande wa watumishi nchi za wenzetu ajira ni huduma ya jamii siyo kazi,kwahiyo kodi iko chini sana..

Ukiwa zambia gari ni bei rahisi kuliko tanzania,wakati magari ya zambia yanapita bandari ya tanzania,..hili ni ajabu.

Tanzania ni vyema sasa ifanye mabadiliko ya kodi vinginevyo itajikuta ni nchi zwazwa.
 
Nyuzi zingine huwa zinakuwa na mashiko na Msaada kwa wengi na taifa kwa ujumla. Tatizo linakuja kwenye uwasilishaji. Katika uzi kama huu mtaalamu wa kodi angeweza kudadavua hadi tungependa wote.

Kwa kifupi uzi haujitoshelezi, labda tuuchukulie uko kisiasa na majibu yaje kisiasa tu.
 
Naunga mkono hoja.
Import duty ni kero na ni kama adhabu!
 
Malyenge anaweza kutusaidia hapa.
 
Asante kwa kuliona hilo.
Only in Tanzania, mwajiri utatozwa kodi kwa kuajiri mtu, heri uweke mitambo kuliko ajira
Only in Tz, ukiwekeza nchi hii utalaaniwa kwa kukatwa kodibkatika mtaji waki. Utawindwa na NEMC, FIRE,TRA, TFDA TBS moaka usalimu amri.
Only in Tz, kuna kodi zaidi ya 56 za kodi, ukithubutu kufanya biashara. Ukisalimu amri salama yako.
Only in Tz, kama kuna kodi hukilipa hadi miaka kumi iliyopita utawindwa na TRA hadi ufunge biashara, na utatozwa fine na riba kubwa zaidi hata mtaji wa biashara yenyewe.
Hata ukiwa na wazo la kiujasiria mali, utakatwa kodi ipasavyo kupitia vyombo nilivyotaja hapo juu, ilhali wenyewe hata frame ya kuuza nyanya hawana.
Hapo ni komoa komoa hadi urudi kulima mboga mboga ili usurvive.

Ukitaka usibugudhiwe nchi hii na kodi lukuki inabidi uhusudu umasikini na kuililia kila siku serikali kwa ruzuku kutunza watoto wako.

Kwa hiyo msimamo ni kuwa karibisha wawekezaji ili tuwapige kodi kisawasawa tupate kuishi.
 
Nilete maoni yangu japo najua hayatakuwa na tija kwa wahusika waliopewa jukumu la kukusanya mapato.
1-Ni muhimu sana kujua unaetaka alipe kodi anauelewa kiasi gani (vinginevyo atakuona mnyang'anyi tu)
Lkn hata chombo husika TRA ni muhimu wajue Mauzo sio faida, na hapa ndio fujo hutokea kati ya afsa wa TRA na mfanyabiashara Kwani kwenye mauzo kuna mtaji wao TRA hilo huwa hawataki kulijua.

2-Ni vema wakaweka kodi zooote kwenye mwamvuli mmoja hii pia itaondoa mizunguko isiyo na maana lakini pia itatoa ubabaishaji wa njoo kesho.
Na ili iwe kodi kivutio na sio kero ilifaa kuwe na kiwango mahususi kwa wafanyabiashara wa chini,kati,na Juu. Kwa nini?
A)mfanyabiashara anapokwenda kujumua mzigo kiwandani ama kwa agent Anakatwa kodi akija kuuza inabidi auze juu kwa kuwa atakatwa kodi pia.
B)itarahisisha hata bei kwenda kwa walaji ambao ni wananchi wa chini kabisa kunufaika.
 
Wakuu ukitembelea nchi kama Namibia,Senegal,Botiswana,zambia utagundua kua kufanya biashara Tanzania ni kupoteza muda mana sera ya kodi Tanzania ni mbaya sana,yaani tanzania unalipa kodi ambayo inakata mpaka mtaji,kwa upande wa watumishi nchi za wenzetu ajira ni huduma ya jamii siyo kazi,kwahiyo kodi iko chini sana..

Ukiwa zambia gari ni bei rahisi kuliko tanzania,wakati magari ya zambia yanapita bandari ya tanzania,..hili ni ajabu.

Tanzania ni vyema sasa ifanye mabadiliko ya kodi vinginevyo itajikuta ni nchi zwazwa.
NAKUBALIANA !!!!
 
Naunga mkono hoja.
Import duty ni kero na ni kama adhabu!
Hiyo ni kwa mpango maalumu
Hebu safirisha kitu nje ya nchi halafu nunua cha aina hiyo hiyo kutoka nje uone utofauti wake wa kodi
Mnaona hela yetu inaporomoka kila siku na wewe ndio huwenda mlalamikaji mkuu wakati nyinyi ndio mnasababisha
Mbuni vitu vya ndani mpunguze hali hii
 
Back
Top Bottom