Tuache utani; Pamoja na udogo wake lakini mshahara una heshima yake

Acha tu.

Mshahara acha uitwe mshahara jamani pamoja na udogo wake.

Ukitoka tu hali ya hewa mtaani inabadilika mno.

Laki mbili mbili hizi jamani acheni tu.
Sawa na boom enzi hizo niko chuo likitoka unajihisi we ndo bakhresa over wewe bdo umewekewa ela nyingi zaidi ya wote
 
Huku kwetu Kwamtogole baba mwenye nyumba anatoa kochi moja na stool ndogo barazani akiburudika na bia.
 
Ambaye alidhiki na mshahara aachie ngazi walio Nje ya system wanatamani waingie wakipatae na hicho kidogo unacho dhalilisha Mungu anawaonaaaa
 
Back
Top Bottom