Tuache utani, Makonda anajua kula na kipofu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,170
103,635
Nimepindua nilivyopindua lakini ninekubali huyu jamaa anajua kula na kipofu bila mgogoro wowote.

Japo mwisho wake unaweza kuwa mbaya na wa aibu ila kajitahidi sana. Kwa mda ambao amekula si haba tumpe hongera kijana mwenzetu kwa hili jamani. Yote kutafuta maisha sema yeye kaenda mbali zaidi anatafutia kwa wavuja damu

Kumwita mtu nabii na akaitika sio jambo dogo. Mimi mwenyewe ukiniita nabii lazima nikuzingue maana sanifu zimevuka mipaka,sasa huyu anapata wapi ujasiri wa kuita nabii mbele ya viongozi wa heshima
 
Mwingine anakuja kwa spidi ya bombadia:D...mteuliwa mpya wa wizara, ana maneno mengi. Anajitahidi kucheza na mind set za vipofu:p:p:p:p
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom