dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,842
- 3,139
Kuna baadhi ya watu wameokoka na hawakosi kanisani jumapili na mara nyingine jioni lakini nafsi zao sijui zikoje maana roho mbaya pamoja na kupenda hela kupita kiasi ukiwa mtoaji yeye anakuona bora.
Kwenye mazungumzo utasikia mi mlokole hadi mtu unashang'aa. Jamani dini ni matendo sio maneno . Maana hadi inafurahisha maana matendo yako yanaweza kukupunguzia heshima kuliko kuwa unaongea mi mlokole dini ni matendo kuenda kanisani kila siku huku unachuki, roho mbaya na tamaa ya vitu visivyo vyako ni hatari kwa kweli