Tuache Unazi, Zinedine Zidane na Andrea Pirlor ni yupi Fundi zaidi?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,478
Habarini Wadau,

Hawa malegendari viungo wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani nawakubali sana

Binafsi nashindwa kumchagua mmoja na kukiri kuwa ni bora zaidi ya mwenzie.

Kwa maoni yenu, mnafikiri ni nani mkali zaidi.

Karibuni Mnaojua soka na mliowafuatilia hawa jamaa.
 
Fainali ya worldcup 2006 pirlo alitawala sana dimba ile mechi na kwangu Mimi ile fainali Pirlo alipoteza kiungo cha ufaransa

Pirlo mzuri ila Zizzou mzuri zaidi kuliko Pirlo
 
Zidane atahukumiwa kwa race yake lakini hiyo kwangu haikutosha ila nilipogundua chenga za Zidane alizi copy kwa nguli Jay Jay Okocha na hakuna sehemu ali appreciate kwenye references zake nikaona ni plagiarism nampa 0 na credit to Okocha halafu pili back in topic unajua kwa nini Pirlo tangu enzi hizo ame sustain kwenye dimba?ile ni kitu adimu ni kipaji cha hali ya juu sana like wine

Mwisho topic yako siku nikipata muda nitaufungua uzi wa ukocha na legacy yake inapotea sehemu kubwa ikichangiwa na mbwembe za Zinane
 
Pirlo nisawa na Issa Athumani au Waziri Mahadhi. Tofauti yao wamezaliwa nchi tofauti.
 
Zidane ni zaidi ya Fundi japo kitu ambacho nilikua navutiwa na pirlo ni namna anavyoweza kumudu game ya kasi huku yeye akiwa anacheza slow,ni mara chache kumuona anakimbia ila ana uwezo wa kupga quick n accuracy pass
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom