.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Tuache unafiki wa kupeana sifa sifa wakati,unaempa Unamchukia.
Funguka Nani unaemchukia Humu Jf,mwaka ndo unayoyoma,ili tuwajue na tujuane then Msamaha upite.
Hata kama wanafika idadi ya First eleven funguka.
.
.
.
.
.
.
Usimung'unye funguka..
 
zubedayo
 
Back
Top Bottom