Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

Wangwana, kukosoa na kutukana ni vitu viwili tofauti. Kukashifu na kushauri ni vitu viwili tofauti. Aidha uhuru bila ukomo ni uwendawazimu!
Kisheria kutukana, kutishia, n.k. vina hukumu yake mbele ya sheria. Haiyumkiniki kuchukulia mambo poa kwa sababu tu kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni au mtu ana hasira! Uhuru wa namna hiyo umebatilishwa na sheria. Uhuru wa kudhalilisha mtu sio uhuru! Huo ni ukiukwaji wa heshima, utu na mwenendo mwema wa kimaadili kwa binadamu mwenzako.
Tujitafakari!
VOILA!

Common characteristics of world dictators

For the record, a dictator guarantees none of the following:

Freedom of speech.
Freedom of the press.
Free opposition political parties.
Independent courts.
Free and regular elections.

Degrees of repression. Some dictators see themselves as a transition to democracy, but, in general, few eventually subject themselves to an election.

Some dictators allow limited freedom of expression, as long the expression -- written or spoken -- doesn’t directly challenge the dictator’s rule.

The restrictions vary. In some dictatorships, the people can call for free elections or criticize the dictator. In the more repressive tyrannies, such speech could be punished by imprisonment or worse. Under the most severe oppression, a society may appear calm, but only because the punishment for dissent is swift, harsh and certain.

Totalitarianism. Totalitarian dictatorships, the most repressive of regimes, strictly enforce the absence of freedom, and relentlessly apply the power of the press, the courts, the bureaucracy, the army and the police against individual liberties. Totalitarian means total dictatorial control.

Most totalitarian police states have some form of neighborhood block watches, requiring residents to inform on neighbors who exhibit any democratic tendencies. Secret police also watch for anti-dictatorship activity. Religions often are not permitted to operate without a government license; dictators fear that worshipers might plot against them during private religious activities. In totalitarian theocracies, one religion is central to the dictatorship, which relentlessly tells the people that oppression is God's will.

In totalitarian societies, gross abuses of human rights are common. Totalitarian dictatorships also tend to justify their abuses by claiming the total repression serves a higher cause, like material equality or superficial stability. Totalitarian dictators regularly educate both children and adults that freedom is a scary thing, or they redefine "freedom" as equality or stability. The arguments for totalitarian control become an "ideology," a system of principles that average citizens are never permitted to question.

No named successor. One oddly common trait among dictatorships: The dictator almost never has a named successor. Most democracies have something like a vice president, to take over if the president dies. Dictators don't want their opponents to know who would succeed them. The uncertainty discourages the opposition from assassinating the dictator. To the would-be assassin, the successor could be worse, or the chaos of choosing a successor too dangerous.

In dictatorships, the ruling political party either restricts the activities of opposition political parties or outlaws opposition parties altogether. (Each "party" simply is a group of people who agree on and organize around a collection of political ideas.) Dictatorships also allow the courts little or no independence; judges are expected to issue rulings based on what the dictator wants, even if the dictator's wishes contradict the truth or the law.

Dictatorships are much more inclined to begin wars. Their secrecy and unaccountability place few restrictions on a dictators' war-making decisions. The same lack of openness and accountability makes dictatorships much more prone to mass murders of outcasts, political opponents and even people simply suspected of opposing the government. With no free elections, no strong opposition parties, no free press and no independent courts to challenge them, dictators can order mass death at their whim.

Link to famine. Some political scientists argue that the lack of openness and accountability of dictatorships also is a major cause of mass famine. Democracies occasionally experience hunger and malnutrition, but democracies seldom experience the kind of famine that lets hundreds of thousands or even millions die of starvation. A government that faces a free press and free elections is much more likely to produce quick action to avoid famine.

A dictatorship is more inclined to cover up famine and look the other way. In fact, some dictators, including Joseph Stalin and Mao Zedung, intentionally have caused famines and let them linger. They cut off food to cities and provinces to punish people who called for freedom or independence.

A dictatorship commonly is thought of as one person, the dictator himself. Usually, there is one man at the top, but occasionally the top ruler answers to some extent to a dictatorial political party. Today's Chinese Communist Party is one example of this. It enjoys dictatorial power. It is not elected by the people, but it elects all of China's rulers.*

Hopeless oppression. The most common characteristic of a dictatorship: Hopelessness in the people -- no hope of a free election to change leaders, no hope of fairness in court, no hope of a life lived with the freedom to speak your mind or challenge a bad idea.

Hey Guys,
The comment is nonchalant / discourteous in a sense that it fails to reflect the essence of what is on the ground!
Do you mean to tell us that, with lack of freedom of speech or freedom of press or freedom of political parties or freedom of justice or freedom of elections, as you are writing this, you are in a hidden place where this dictator won't reach you! Or you are in a "come-what-may" place / situation?
By the way, how many times have the so called "opposition leaders" won cases against the state in the courts where there is no justice (in a dictatorial regime)?
Take heed to what you leap!
Mimi ni mwajiri wa Dr. John Pombe Magufuli, nimemwajiri kunitumikia, alete maendeleo kwangu na kwa taifa zima.

Nitakuza kichaa endapo nitaacha kumshauri, kumsema na hata kumkosoa pale anapokosea. Ni ajabu mtu nimemwajiri halafu nisimseme, kumkosoa na kumshauri.

Naona kwa sasa umezuka mchezo wa kumfanya mh. Rais ajione yuko sahihi kwa kila jambo. Na mtu anayetazama kwa mbali kuonekana mhaini, mbaguzi, mwongo, ana inda, ana uchama, ukanda nk.

Kwa hapa niko tofauti na chama changu, chama cha Mapinduzi.

Mbona Kikwete hakulindwa kwa nguvu hizi? Tena hata yeye alikuwa anaona anavyotukanwa, lakini akaruhusu watu waoneshe hasira zao ili ajue wapi kakosea.

Mh. Rais ana kasi nzuri, ya kutia matumaini, ila wanaotofautiana mawazo ktk mambo flani huenda hata kutoa lugha isiyofaa, utumike utashi wa kisiasa, waachwe watapike hasira zao. Hapo tutakuwa tunaona wapi anakosea nasi kama wanachama wa chama cha Mapinduzi kumshauri mh. Rais.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Wale vijana wake watakuja na vioja badala ya hoja.

Uko kigoma namsikia anataja miradi serikali yake anayoitekeleza Reli mara ndege 6 mara bwawa la kuzalisha umeme mara maji bt cjui kwnn hataji iyo airport anayojenga chato au ni kimradi kidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwajiri wa Dr. John Pombe Magufuli, nimemwajiri kunitumikia, alete maendeleo kwangu na kwa taifa zima.

Nitakuza kichaa endapo nitaacha kumshauri, kumsema na hata kumkosoa pale anapokosea. Ni ajabu mtu nimemwajiri halafu nisimseme, kumkosoa na kumshauri.

Naona kwa sasa umezuka mchezo wa kumfanya mh. Rais ajione yuko sahihi kwa kila jambo. Na mtu anayetazama kwa mbali kuonekana mhaini, mbaguzi, mwongo, ana inda, ana uchama, ukanda nk.

Kwa hapa niko tofauti na chama changu, chama cha Mapinduzi.

Mbona Kikwete hakulindwa kwa nguvu hizi? Tena hata yeye alikuwa anaona anavyotukanwa, lakini akaruhusu watu waoneshe hasira zao ili ajue wapi kakosea.

Mh. Rais ana kasi nzuri, ya kutia matumaini, ila wanaotofautiana mawazo ktk mambo flani huenda hata kutoa lugha isiyofaa, utumike utashi wa kisiasa, waachwe watapike hasira zao. Hapo tutakuwa tunaona wapi anakosea nasi kama wanachama wa chama cha Mapinduzi kumshauri mh. Rais.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!
Mkuu umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangwana, kukosoa na kutukana ni vitu viwili tofauti. Kukashifu na kushauri ni vitu viwili tofauti. Aidha uhuru bila ukomo ni uwendawazimu!
Kisheria kutukana, kutishia, n.k. vina hukumu yake mbele ya sheria. Haiyumkiniki kuchukulia mambo poa kwa sababu tu kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni au mtu ana hasira! Uhuru wa namna hiyo umebatilishwa na sheria. Uhuru wa kudhalilisha mtu sio uhuru! Huo ni ukiukwaji wa heshima, utu na mwenendo mwema wa kimaadili kwa binadamu mwenzako.
Tujitafakari!
Wewe acha kuwa kipofu kwa mambo yanayoendelea hapa nchini.

Ni ukweli usiopingika kuwa Magu hapendi kukosolewa kwa hali yoyote ile.

Hebu nieleze hivi Halima Mdee kusema kuwa Rais anachukulia kauli zake kuwa sheria, hivi hayo nayo ni matusi?

Kwani si ni ukweli mtupu.......

Hebu tujiulize, kama Halima Mdee alichoongea ni uwongo, tuulize Polisi ni kwanini wanazuia mikutano ya vyama vya siasa vya upinzani wakati wanaruhusu mikutano ya CCM kufanyika?

Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 3(1) inatamka wazi kuwa nchi hii itafuata mfumo wa vyama vingi na vyama hivyo vinatakiwa vifanye shughuli zake bila kuingiliwa na chombo chochote.

Kwa mazingira hayo kama ni kuchukulia kauli ya uchochezi, ni ile aliyoitoa Rais kwa kusema kuwa anapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, wakati akijua kuwa kauli hiyo ni uvunjaji wa wazi wa Katiba ya nchi yetu.
 
Mimi ni mwajiri wa Dr. John Pombe Magufuli, nimemwajiri kunitumikia, alete maendeleo kwangu na kwa taifa zima.

Nitakuza kichaa endapo nitaacha kumshauri, kumsema na hata kumkosoa pale anapokosea. Ni ajabu mtu nimemwajiri halafu nisimseme, kumkosoa na kumshauri.

Naona kwa sasa umezuka mchezo wa kumfanya mh. Rais ajione yuko sahihi kwa kila jambo. Na mtu anayetazama kwa mbali kuonekana mhaini, mbaguzi, mwongo, ana inda, ana uchama, ukanda nk.

Kwa hapa niko tofauti na chama changu, chama cha Mapinduzi.

Mbona Kikwete hakulindwa kwa nguvu hizi? Tena hata yeye alikuwa anaona anavyotukanwa, lakini akaruhusu watu waoneshe hasira zao ili ajue wapi kakosea.

Mh. Rais ana kasi nzuri, ya kutia matumaini, ila wanaotofautiana mawazo ktk mambo flani huenda hata kutoa lugha isiyofaa, utumike utashi wa kisiasa, waachwe watapike hasira zao. Hapo tutakuwa tunaona wapi anakosea nasi kama wanachama wa chama cha Mapinduzi kumshauri mh. Rais.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Maneno kuntu hayo. Mfalme Suleiman, aliyejaliwa hekima nyingi sana na Mwenyezi Mungu aliwahi kusema: "Pasipo mashauri taifa huanguka; bali kwa wingi wa mashauri huja wokovu" Mithali 11:14
 
Kaweka sheria pembeni kwa kigezo cha kunyoosha nchi, akajitoa ufahamu kwenda kwenye sekta za madini. Akatuona watanzania kuwa ni wehu eti tunaidai kampuni Tr 100+ wakati kampuni haina hata thamani ya Trilion 5.

Aliyewaita wezi na akasema kuwa kila mzalendo ataumia na unyonyi huu wa wazungu, hazikupita hata wiki mbili akaja akakaa nao Ikulu huku akikenua meno, anasema atakaa nao kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo na mtu ambae amekuibia???? Kwanini suluhisho lisiende makahamani ili tulipwe kisha ndo mazungumzo yaanze????? Kama sisi ndo tumeibiwa kwanini tusiende mahakamani???
BARA LA AFRICA BADO LIKO GIZANI VIONGOZI WENGI WA AFRICA NI WABOVU MFANO AKINA IDDI AMIN DADA, MOBUTU SESEKO,BOKASSA, NA WENGINE WENGI SANA, MADINI NA MALI NYINGI ZA AFRICA UTUMWA, NA ZINGINE NYINGI ZIMETAJIRISHA NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI.SASA UKOMBOZI WA KWELI NI KAMA WA MH. JPMWA KUTOKUWA NA WATU WANAOTUMIA MALI ZA UMMA KWA UDANGANYIFU,WAZUNGU KUENDELEA KUIBA KW KUWATUMIA VIBARAKA ZAO KAMA VILE TUNDU LISSU NA WENZAKEKWA KISINGIZIO CHA DEMOCRACY AMBAYO BAAAADO SAAANA BARANI AFRICA.HIVI KWELI US NA UK WANAENDELEA NA SIASA ZA CAMPAIGHN BAADA YA CHAGUZI ZAO ?WAMENGANGANA DEMOCRACY WA WATU MASKINI NJAA KALI NAMNA WALIOJAZA MAJIZI BILA HATA TAALUMA YOYOTE SERIKALINI ? NAOMBA JPM ENDELEA KUCHAPA KAZI MPAKA KIELEWAKE .HAPA KAZI TU .
 
Wewe acha kuwa kipofu kwa mambo yanayoendelea hapa nchini.

Ni ukweli usiopingika kuwa Magu hapendi kukosolewa kwa hali yoyote ile.

Hebu nieleze hivi Halima Mdee kusema kuwa Rais anachukulia kauli zake kuwa sheria, hivi hayo nayo ni matusi?

Kwani si ni ukweli mtupu.......

Hebu tujiulize, kama Halima Mdee alichoongea ni uwongo, tuulize Polisi ni kwanini wanazuia mikutano ya vyama vya siasa vya upinzani wakati wanaruhusu mikutano ya CCM kufanyika?

Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 3(1) inatamka wazi kuwa nchi hii itafuata mfumo wa vyama vingi na vyama hivyo vinatakiwa vifanye shughuli zake bila kuingiliwa na chombo chochote.

Kwa mazingira hayo kama ni kuchukulia kauli ya uchochezi, ni ile aliyoitoa Rais kwa kusema kuwa anapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, wakati akijua kuwa kauli hiyo ni uvunjaji wa wazi wa Katiba ya nchi yetu.
Ha! Tena nimekuwa kipofu? Inawezekana! Binadamu hutofautiana kimaoni na kimaono! Tusi kwako linaweza likawa ni sifa njema na kwa mwingine ikawa kinyume!
Hivi hiyo mikutano unayoiongea ni ile ya kuhamasisha maendeleo au ile ya kuchambana? Na mikutano hiyo ya CCM unayozungumzia kuwa inafanyika, ni ipi? Unapozugumzia Katiba uwe na uhakika kwamba hakuna kifungu ndani yake kilichoweka ukomo au nukta!
Halafu, ujue kwamba, hakuna kitu kibaya kama kutiwa kiki na ukaivalia njuga!
Jitafakari!
 
Watanzania tumekwisha elewa kwamba kwa Upinzani kuna ukomo wa kila kitu lakini kwa chama tawala hakuna ukomo hata kutukana kwa CCM unaweza kutukana unavyopenda lakini kwa upinzani ukiyajibu mapigo ya mwanaccm ni uchochezi.

Rais anatukana ,anabagua anachochea lakini haonywi sababu ni rais,lakini hajui impact ya maneno yake yanakuwaje,ila sababu ni CCM halina ukomo.

Mkapa ni juzi tu kawatukana watanzania kama ni wapumbavu CCM na serikali yake wakapiga na makofi kwa sababu kwa CCM ni halali upinzani ni haramu.

Kagame kampiga mbali Serikali ya JPM japo ninajua ni changa la macho lakini ameweza kufanya ambacho JPM hawezi kufanya.

Wazee walisema ...'Kuchamba sana.............'
 
Mimi ni mwajiri wa Dr. John Pombe Magufuli, nimemwajiri kunitumikia, alete maendeleo kwangu na kwa taifa zima.

Nitakuza kichaa endapo nitaacha kumshauri, kumsema na hata kumkosoa pale anapokosea. Ni ajabu mtu nimemwajiri halafu nisimseme, kumkosoa na kumshauri.

Naona kwa sasa umezuka mchezo wa kumfanya mh. Rais ajione yuko sahihi kwa kila jambo. Na mtu anayetazama kwa mbali kuonekana mhaini, mbaguzi, mwongo, ana inda, ana uchama, ukanda nk.

Kwa hapa niko tofauti na chama changu, chama cha Mapinduzi.

Mbona Kikwete hakulindwa kwa nguvu hizi? Tena hata yeye alikuwa anaona anavyotukanwa, lakini akaruhusu watu waoneshe hasira zao ili ajue wapi kakosea.

Mh. Rais ana kasi nzuri, ya kutia matumaini, ila wanaotofautiana mawazo ktk mambo flani huenda hata kutoa lugha isiyofaa, utumike utashi wa kisiasa, waachwe watapike hasira zao. Hapo tutakuwa tunaona wapi anakosea nasi kama wanachama wa chama cha Mapinduzi kumshauri mh. Rais.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!
Ni lazima tutambue kuwa hakuna mtu anayekataa kukosolewa hata kushauriwa pale inapobidi. Ugomvi wa Serikali ni lugha inayotumika kukosoa au kutoa ushauri, lugha ambazo huwezi hata kuzitumia kwa wazazi wako unapowashauri au kuwakosoa. Hapo ndipo wasimamizi wa sheria na utamaduni wetu wanapokuja mbogo na kuamua kama mbwai na iwe mbwai tu. Rejea somo la Prof Kabudi Bungeni, Mstaarabu (Muingereza) hawezi kumuita mtu "Stupid" anatafuta lugha ambayo si ya kuudhi ingawa ina maana ileile "Your level of understanding is diminishing" Lugha zinazotolewa na wakosoaji wa leo kwa viongozi wetu ni sawa na za watu waliokosa malezi ya wazazi utotoni.
 
Hata hivyo ninashangaa ile clip ya Mwalimu Nyerere aliyoitoa kwenye speech ya mwaka 1995 haionyeshwi kwenye TV stations nowadays, pengine kwa kuhofia kuitwa wachochezi na kuogopa kufungiwa!

Mwalimu Nyerere katika hotuba yake hiyo alitoa wosia muhimu sana kwa nchi yetu kwa msisitizo mkubwa kuwa ni lazima Rais wetu atawale kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu ambayo aliapa kuilinda na kuitii kabla hajakabidhiwa madaraka ya kutuongoza.

Mwalimu Nyerere katika speech yake hiyo alisema wazi kuwa Rais ambaye hataki kutuongoza kwa mujibu wa Katiba yetu, Rais wa aina hiyo hatufai.....

Akaendelea kusisitiza Mwalimu Nyerere katika hotuba yake hiyo kuwa Rais wa aina hiyo anapaswa atuachie Urais wetu na yeye aende akafanye shughuli nyingine kama vile kufuga ng'ombe.......

Sasa kama kweli wanaccm wanamuenzi Mwalimu kwa vitendo, ni kwanini wanashindwa kumwambia Mwenyekiti wao kuwa ni kwanini anaamua kuongoza nchi bila kuifuata Katiba ya nchi yetu?
Nadhani huu ni muda wa kumuenzi mwenyekiti wao aliyepo madarakani. Asiyekuwapo na lake halipo.
 
Angekuwa sahihi kwa kila jambo asingeomba Kura kwetu! Awe mkali au mpole tumemuajili sisi na tuna mtunza sisi na analindwa na watoto wetu! Analiyelindwa na anayelinda nani mwenye nguvu!!
 
Mleta hoja alikimbia jukwaa miaka miwili iliyopita baada ya kuumbuka. Aliandaa mkakati wa kutaka wana CCM waliopo JF tufahamiane na tupeane namba za simu. Tena alienda mbali akataka tuandae kikao ili tubadilishane mawazo. Hakika aliumbuka sana baada ya kubainika kuwa kumbe jamaa ni CHADEMA damu. Naona amefufuka na amekuja kwa style ile ile. Tumekushtukia

Bila Kura za wananchi hakuna raisi kabisa; ni vema raisi ajue hivyo na kwamba uongozi wake utakuwa bora akifuata katiba asipofanya hivyo ni msaliti kwa mjibu wa Nyerere!!
 
Kaweka sheria pembeni kwa kigezo cha kunyoosha nchi, akajitoa ufahamu kwenda kwenye sekta za madini. Akatuona watanzania kuwa ni wehu eti tunaidai kampuni Tr 100+ wakati kampuni haina hata thamani ya Trilion 5.

Aliyewaita wezi na akasema kuwa kila mzalendo ataumia na unyonyi huu wa wazungu, hazikupita hata wiki mbili akaja akakaa nao Ikulu huku akikenua meno, anasema atakaa nao kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo na mtu ambae amekuibia???? Kwanini suluhisho lisiende makahamani ili tulipwe kisha ndo mazungumzo yaanze????? Kama sisi ndo tumeibiwa kwanini tusiende mahakamani???
 
Vitabu vyote vya dini vinasema hakuna binadamu yeyote ambaye yupo 100% perfect kwa maana dini zote zinaamini kuwa ni Mungu pekee ambaye yupo 100% perfect.

Kwa maana hiyo sisi binadamu wote tuna mapungufu yetu bila kujali nafasi unayoshikilia kwenye jamii.

Mfumo wa maisha umeweka kuwa sisi binadamu tuweke mazingira ya kukosoana, ili pale ulipo na mapungufu uweze kujisahihisha ili uyaondoe mapungufu yako kwa manufaa ya jamii inayokuzunguka.

Vivyo hivyo katika miundo ya serikali, imewekwa mazingira ya kukosoana kwa kile kitu kinachoitwa check and balance katika Power seperation ya mihimili 3 ya dola ambayo ni Utawala, Bunge na Mahakama.

Kila mhimili kati ya mihimili hiyo 3 unapaswa kufanya kazi yake ukiwa huru bila kuingiliwa na mhimili mwingine.

Kwa Bahati mbaya mfumo wa uendeshaji wa serikali ya awamu ya 5 hautaki kuzingatia hiko kitu kinachoitwa power separation.

Tumeshuhudia mhimili mmoja ambao ni utawala ukijinadi kuwa wenyewe ndiyo supreme kwa kuwa umejichimbia mizizi yake chini zaidi!

Tumewahi mara kadhaa kumsikia Rais wetu ambaye ndiye mhimili wa Utawala akieleza kuwa yeye hajaribiwi na hataki mwananchi yeyote ampe ushauri wa aina yoyote kwa kuwa hakuna mtu yeyote aliyempa ushauri wa kugombea Urais na ni yeye mwenyewe aliyeamua kwenda Dodoma na kuchukua fomu ya Urais na kuijaza.

Kama tujuavyo mhimili wa Bunge wajibu wake mkuu ni kuisimamia serikali/utawala kwa maana ya kuwa mambo ambayo hayafanyiki vyema na serikali kuyabainisha ili serikali iyarekebishe kwa manufaa ya Umma wa watanzania.

Hata hivyo Bunge letu lina makundi mawili ambayo kundi moja ni la wabunge wa Chama tawala cha CCM ambao ndiyo wengi na kundi lingine ni la wabunge wa vyama vya upinzani.

Tulishuhudia miongoni ya hatua za awali kabisa zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya 5 ni kupiga marufuku kwa Bunge letu kuonyeshwa live. Hatua hiyo ilipingwa vikali sana na wabunge wote wa upinzani na Umma wa watanzania. Lakini kwa upande wa wabunge wa CCM waliunga mkono kwa kusitishwa huko Bunge letu kuonyeshwa live.

Hata hivyo sababu za serikali kusitisha Bunge live zimekuwa hazina mashiko kwa kuwa tuliambiwa kuwa huo muda wa Bunge kuonyeshwa live ni muda wa kazi, kwa hiyo muda huo wananchi wanatakiwa kuwa makazini kwao na siyo kuangalia Bunge live.

Hata hivyo sababu hizo zimethibitika kuwa siyo za kweli kwa kuwa mara nyingi tumeshuhudia katika ziara zake sehemu mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa CCM Taifa, ziara hizo zikionyeshwa live muda huo huo wa watanzania wanapotakiwa kuwa makazini!

Hoja kuu iliyotolewa na wabunge wa upinzani kutaka Bunge lionyeshwe live ni kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa hiyo ni jambo muhimu kwa wananchi waliowachagua kuwatazama Bungeni na kuwaona ili wawatathmini kama kweli wanawawakilisha vyema Bungeni.

Baada ya Bunge kutoonyeshwa live tumeshuhudia mfululizo wa wabunge wa upinzani aidha kutoka Bungeni kwa kususia vikao vya Bunge na mara nyingi kufukuzwa Bungeni na wabunge wenzao wa CCM kwa kile kunachodaiwa kuwa wabunge hao wa upinzani ni watukutu.

Hata hivyo wananchi walichobaini ni kuwa wabunge wa upinzani wamekuwa wakitimuliwa Bungeni kutokana na wao kutimiza wajibu wao mkuu huko Bungeni wa kuisimamia serikali ambapo wabunge wenzao wa CCM wanatofautiana nao kwa kuwa wao wanaona jukumu lao kuu wakiwa humo Bungeni ni kuikingia kifua serikali.

Tumeshuhudia pia wabunge wa upinzani katika serikali hii ya awamu ya 5 wakifanya shughuli zao katika mazingira magumu mno ndani na nje ya Bunge tokea kurudishwa tena kwa mfumo wa vyama vingi. Kwa kuwa tumeshuhudia vyombo vya dola vikiwazuia wawakilishi hao halali wa wananchi kufanya mikutano na wapiga kura wao.

Kwa mazingira hayo niliyoyaeleza tumeshuhudia pia wateule wa Rais maDC na maRC wakitoa amri za kuwatia korokoroni kwa masaa 48 kwa wawakilishi hao wa wananchi kwa kile wanachokiita kuwa wawakilishi hao wamekuwa wakitoa kauli za uchochezi na zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kwa bahati mbaya sana sheria hiyo inakinzana na natural justice inayoitwa right to be heard, kwa kuwa DC au RC huyo anakuwa ndiye anayetuhumu, anapeleleza na wakati huohuo anamhukumu mtuhumiwa!

Kwa mazingira hayo inaonekana kuwa serikali hii ya awamu ya 5 imeendelea kujiwekea mazingira ya kutotaka kabisa kukosolewa, jambo ambalo ni kinyume na mfumo wa utawala bora ambao umeweka mfumo wa power separation ya mhimili hiyo 3 ambayo ni Utawala, Bunge na Mahakama katika mazingira ya balance and check na pia Ibara ya 18 katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977, inatoa uhuru kwa kila kila mwananchi kuwa huru kutoa maoni yake.

Mi nachojua na kushukuru sikumchagua mwaka 2015 hivyo nina clear conscious na roho yangu haitonisuta mpaka kaburini..
 
Angekuwa sahihi kwa kila jambo asingeomba Kura kwetu! Awe mkali au mpole tumemuajili sisi na tuna mtunza sisi na analindwa na watoto wetu! Analiyelindwa na anayelinda nani mwenye nguvu!!
Pengine anaamini kura yake moja na ya mama Jesca, kura hizo 2 zinaweza kumrejesha Ikulu.....

Time will tell, ngoja tusubiri 2020 kuona mbivu na mbichi.....
 
Back
Top Bottom