Tuache tabia hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache tabia hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGUVUMOJA, Aug 2, 2011.

 1. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa baadhi ya members kuanzisha thread za kichokozi na hasa zinazoudhi pia wengine posts zao zinatoka nje ya mada husika.
  Tubadilike ndugu zangu.
  Ni vyema tukahabarishana matukio muhimu na pia kuleta threads zenye maana/faida kwa jamii yetu.
  Nawasilisha.
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Binadamu hatuko sawa,unacho fikiria wewe si sawa na mwingine(uhuru wa kuongea ni muhimu)
   
Loading...