mwanasiasa akizindua mradi wa maji anafungua bomba la maji kisha ananawa mikono kuashiria imezinduliwa rasmi.
sasa swali langu mwanasiasa akiwa anazindua choo anafanyaje ? tuache siasa, AU anazindua kondomu,
kwasababu ombi ni kuacha siasa nadhani wafike waflash maji chooni na kama choo ni cha shimo amwage maji kuonesha ukimaliza kukata gogo jitawaze,si wanapenda siasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.