Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

Mfanyakazi wa serikali au wa umma anapoumwa au kuugua anayo hali ya kutibiwa na mwajiri wake, lakini pia anayo haki ya kuamua kujitibu kwa kujipeleka ktk hospital aitakayo.
Tunda lissu alijipeleka Nairobi mwenyewe na amejipeleka ulaya mwenyewe, sasa serikali ifanye nini wakati aliamua kujitibu kwa gharama zake!
Ilipaswa serikali ndiyo iamue apelekwe hospitality IPI na sio yeye aamue.
Acha uwe funzo ijapokuwa tunamuombea apone.
 
Chadema wameleta yote haya kwa kukataa Lissu asitibiwe na serikali kisa atauawa,sasa bili inawashinda mnalia lia tu
 
Wewe unaita vyombo vya habari vya kenya na kutaka serikali inyimwe misaada alafu hapohapo unataka serikali ikutibu!
Lkn upotoshaji mwingine ni wa kipumbavu tu, aliposema serikali inyimwe misaada hakutoa sababu? Sababu hizo ndizo ulitakiwa uzijadili hapa ila hicho unachozungumzia ni umbeya tu sasa.

Pili, kwani ni lazima tusaidiwe? Lini tutasimama wenyewe kwa miguu yetu baada ya karibu miaka sitini ya uhuru?
 
Wewe fanya maigizo tu lakini ipo siku utakuja kujutia maigizo yako. Dharura haina utaratibu, hilo ulijue.
Utaratibu umepangwa kabla ya dharura so dharura ikitokea inaukuta utaratibu umekamilika,ni sawa na daktari yupo kwa ajili ya dharura ya mgonjwa.
 
Wewe unaita vyombo vya habari vya kenya na kutaka serikali inyimwe misaada alafu hapohapo unataka serikali ikutibu!
Wewe kenge hizo Hela ni kodi zetu,jiulize kwanini alitamka ivyo acha roho mbaya,mungu anakuona na huyo mwenye roho mbaya wako
 
Hayo ni maoni yako!
Ukiwa umeshika makali na mwenzio kashika mpini hakika inaitajika busara ya hali ya juu!
Hapo ndipo lisu angetakiwa kuwa mpole kama njiwa na hakima kama ya nyoka!
mafy yako
 
Wewe unaita vyombo vya habari vya kenya na kutaka serikali inyimwe misaada alafu hapohapo unataka serikali ikutibu!

yaani sijui watu huwa wanawaza nini, unamwita mtu mchawi, halafu asubuhi unataka msaasa wake! out of 45m people who is Lissu??
 
Mfanyakazi wa serikali au wa umma anapoumwa au kuugua anayo hali ya kutibiwa na mwajiri wake, lakini pia anayo haki ya kuamua kujitibu kwa kujipeleka ktk hospital aitakayo.
Tunda lissu alijipeleka Nairobi mwenyewe na amejipeleka ulaya mwenyewe, sasa serikali ifanye nini wakati aliamua kujitibu kwa gharama zake!
Ilipaswa serikali ndiyo iamue apelekwe hospitality IPI na sio yeye aamue.
Acha uwe funzo ijapokuwa tunamuombea apone.
Nadhani wewe utakuwa miongoni mwa wajinga mliojipa kazi ya kushangilia hata ujinga. Na nadhani hata taratibu unazojaribu kuzieleza hapa huna uwezo wa kuzieleza bali umekariri ujinga tu. Mwajiri gani mpumbavu ambaye mfanyakazi wake atapatwa na madhila kama yaliyompata Lisu halafu alete mzaha ambao wenye mbwa wanaufanya? Yamkini, hata hujui kauli tofauti tofauti kutoka kwa wenye mbwa ambazo wamezitoa kuhusiana na kugharimia matibabu ya Lisu tangu mwanzo. Ungekuwa unazijua usingeandika huu ujinga hapa...
 
Hayo ni maoni yako!
Ukiwa umeshika makali na mwenzio kashika mpini hakika inaitajika busara ya hali ya juu!
Hapo ndipo lisu angetakiwa kuwa mpole kama njiwa na hakima kama ya nyoka!
Mtu wako si Mungu bhaana!! Aweza kutangulia yeye au washirika wake kabla ya Antipass Siyo lazima kumuabudu
 
Sijaona mzee kama huyu kanisani hakosi lakini ana roho mbaya sana.

Anadai aombewe sijui kwa lipi jema japo siku hizi ameacha kuomba aombewe.

Mkabila, ignorant, etc
 
Mtu wako si Mungu bhaana!! Aweza kutangulia yeye au washirika wake kabla ya Antipass Siyo lazima kumuabudu
Ni mungu maana uwamuzi anatoa yeye, si unamwona antipasi wako anavyo henya?
Rais ndiyo anauamuzi wa mwisho!
Usifanye mchezo na urais wewe!
 
Mfanyakazi wa serikali au wa umma anapoumwa au kuugua anayo hali ya kutibiwa na mwajiri wake, lakini pia anayo haki ya kuamua kujitibu kwa kujipeleka ktk hospital aitakayo.
Tunda lissu alijipeleka Nairobi mwenyewe na amejipeleka ulaya mwenyewe, sasa serikali ifanye nini wakati aliamua kujitibu kwa gharama zake!
Ilipaswa serikali ndiyo iamue apelekwe hospitality IPI na sio yeye aamue.
Acha uwe funzo ijapokuwa tunamuombea apone.
Your compassion is inspiring
Barikiwa
 
Hivi Lissu alipiwe mara ngapi na serikali? Akiona vipi awaombe wazungu aliokuwa anawatetea kwa kuiba mali zetu walimpie, hatutaki kusikia habari zake. Kiki hazitafuywi namna hii.
Lisu alitetea wazungu gani ?!wale Rais Mkapa aliowatetea na kuita waliowapinga kama wavivu wa kufikiri !!!
 
Wewe unaita vyombo vya habari vya kenya na kutaka serikali inyimwe misaada alafu hapohapo unataka serikali ikutibu!
Msemo wa baniani mbaya kiatu chake dawa umepitwa na wakati!
Sasa hivi ni baniani mbaya na dawa yake hupati!
 
Back
Top Bottom