Tuache sababu za kusingizia hali ya hewa timu zinaposhindwa ugenini

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Nadhani sasa ni utoto kila timu zetu zinaposhindwa ugenini hasa Uarabuni kusingizia hali ya hewa.

Nchi yetu bahati Mwenyezi Mungu katupa sehemu zenye joto na baridi pia sasa kama timu inakwenda nje kwenye baridi kwa nini isiweke kambi sehemu za baridi?

Nasema ni utoto kuanza kufikiria hali ya hewa kama chanzo cha kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu hajaiona huyo Manarahamtha nadhani
9b776617ca80bdb30078d2697153bfbb.jpg

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nadhani sasa ni utoto kila timu zetu zinaposhindwa ugenini hasa Uarabuni kusingizia hali ya hewa.
Nchi yetu bahati Mwenyezi Mungu katupa sehemu zenye joto na baridi pia sasa kama timu inakwenda nje kwenye baridi kwa nini isiweke kambi sehemu za baridi?
Nasema ni utoto kuanza kufikiria hali ya hewa kama chanzo cha kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeongea point mkuu, jibu jingine hili hapa👇
Screenshot_20190203-131029_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom