Tuache mfumo Dume, Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tumpe ushirikiano!

Wale walioingia mikataba tpa kutengeneza software na wakalipwa na hawakufanya kazi kipindi cha Awamu ya 5 Mbona hujaliongelea?
Wee ndo unauajua hayo na vizuri utuwekee na ushahidi hapa ili tuhoji kama tunavyohoji makamba kusaini hiyo software kwa mbwembe kule kwa usd 30
 
Duh rais wetu huyu ,kila nikisikia nazamisha kichwa mchangani mradi nisione kangaroo mimi🙆‍♂️
 
This is Rubish mode FUTA huu Uzi it is nonsense
Hizo zama za mtu fulani kuamua maoni ya watu yafutwe kama ulivyoagiza, zimekufa na kuzikwa. Amka usingizi, huko tofauti na zama hizi.
Na chochote kilichosehemu isiyo sahihi kwake ni Rubbish kama ulivyo wewe kwenye hili..
 
Wanaomchukia Samia Ni kundi la sukuma gang, na misukule ya magufuli ambayo inataka mama atawale kwa kuua watu na kuteka, na kutothamini haki za binadamu,

Walishazoeshwa na magufuli kuongoza kwa mkono wa chuma, na kufanya maamuzi bila kufuata sheria
 
MAKU ni huyu shetani alieua sector binafsi pamoja na diplomasia yetu kama anavyoonekana kutokea huko kuzimuView attachment 2033422
pamoja na wewe unaeunga mkono mashetani.

Mleta uzi ni mtu mzuri sana kwa sababu ametukumbusha kuwa huyu shetani aliua sector binafsi pamoja na diplomasia yetu.
Hayupo tena na hawezi kurudi.
Acha ufala huyo jamaa hana mamlaka tena, hajiwezi na mavumbini amesha_lala

Unapoteza muda kupambana na marehemu.

Ila kumbuka kuna watu wengi walikuwa wana mkubali sana, So... jitahidi kuwa na heshima.
 
Hayupo tena na hawezi kurudi.
Acha ufala huyo jamaa hana mamlaka tena, hajiwezi na mavumbini amesha_lala

Unapoteza muda kupambana na marehemu.
Ukifanya mema ukifa historia lazima ikukumbuke.Ukifanya maovu ukifa lazima historia ikukumbuke pia.Hitler anaongewa na kukumbukwa hadi leo kwa yale aliyoyafanya ujerumani.

Kama Magufuli alifanya mambo ya hovyo kufa kwake hakutampa hifadhi ya kutokusemwa.
Ila kumbuka kuna watu wengi walikuwa wana mkubali sana,
Watu wengi wajinga kumkubali Magufuli siyo ticket ya watu werevu wachache kumkubali.
So... jitahidi kuwa na heshima.
Siwezi kamwe kumheshimu mtu kama huyu ambae haheshimu utawala wa sheria👇
20211203_191444_temp.jpg
 
Unakosea unaposema majeraha. Hivi kipindi Dkt Magufuli anarithi hii nchi ilikuwa imefikia hatua gani? Hukumbuki ufisadi, uzembe, madawa vilikuwa vimetamalaki???? Hivi hujui wapiga dili walijipanga kuuza nchi????? Mnapa kichwa Mama kwa kumsemea eti anaponya majeraha. Yeye angekuwa makini Mama angesimamia yake ambayo serikali ya Dkt Magufuli iliyaanzisha bila kuanza kuyabadilisha kama vile yeye hakuwa sehemu ya hiyo serikali. Sasa hivi anaonekana kituko mtaani. Mfano tozo walizileta akina Mwigulu ili kumharibia na yeye Mama kakubali kichwa kichwa, yaani vitu vingi wanamdanganya hawa wanasiasa njaa anakubali. Yeye afuate ushauri wa vijana wa kitengo atakuwa na Amani mno kwa sababu wao ndiyo wanajua wananchi wanahitaji nini. Ila kama aliwaondoa hao boda boda, chinga mhhh ni kazi
Utawala wa Magufuli siyo doctrine kwamba wanaokuja nyuma yake hawawezi kubadilisha. Rais SSH yupo sahihi kutupilia mbali style ya uongozi ya mtangulizi wake hata kama yeye alikuwa sehemu ya Serikali hiyo.
 
Utawala wa Magufuli siyo doctrine kwamba wanaokuja nyuma yake hawawezi kubadilisha. Rais SSH yupo sahihi kutupilia mbali style ya uongozi ya mtangulizi wake hata kama yeye alikuwa sehemu ya Serikali hiyo.
Mnakosea sana kusema mfumo wa Dkt Magufuli. Semeni mfumo wa maslahi ya wengi aliokuwa anaufuata Dkt Magufuli ndiyo ambao tunataka Mama aufuate, aachane na wanamtandao kama akina Makamba wapotoshaji. Hata wao akina Makamba wanayi nafasi ya kubadilika na kuwa na uzalendo wa kuangalia maslahi ya wengi. Yaani mtu kama Mh. Makala kweli kafukuza chinga wote utegemee Mama atapa kura???
 
Back
Top Bottom