Tuache kuwasakama viongozi wetu wa dini

Mfalme wa Genge

Senior Member
Mar 30, 2018
190
224
Imekuwa ni kawaida sana kwa viongozi wetu wa dini kutuhamasisha kutumia haki zetu kama raia wa Tanzania kushiriki katika chaguzi mbalimbali kuanzia kujiandikisha kupiga kura na hata kuchagua viongozi tunaowataka.

Wakati wa zoezi la kujiandikisha kupiga viongozi hawa wa dini walituhamasisha kwenda kujiandikisha na hatukusikia malalamiko yoyote, lakini leo wanatuhamasisha tena kwenda kuchagua viogozi tunawalaumu.

Makanisa mengi tu yamewakumbusha waumini wao kutumia haki zao kikatiba kuchagua viongozi wao. Ukiangalia kwa umakini unaona hapa ni chuki isiyo na msingi kisa Rais Magufuli ameshiriki ibada katika Kanisa hilo. Wakati huo kuna watu wanatumia mbinu chafu tu ya kutaka kuwagombanisha Wakristo ingawa najua si rahisi kihivyo.

Mwaka 2015 tuliona Wachungaji wa Makanisa mbalimbali wakifanya kampeni za uchaguzi lakini kwa kuwa walikuwa wanapendelea upande wao hatukuwasikia wakipiga kelele na kuwataka Waumini wao kutoshiriki ibada katika makanisa hayo.

Bagonzana Shoo wamekuwa wakiongelea masuala ya kisiasa bila kificho tena yenye maneno ya uchonganishi ndani yake lakini kundi hili linalopiga kelele leo limekuwa likishangilia na kuwaona mashujaa. Sasa leo kauli ya Padri ambaye hata hajaonyesha kupendelea upande wowote zaidi ya kuwahamasisha watu kuchagua viongozi imekuwa tatizo.

Acheni kuwachonganisha Wakristo na viongozi wao wa dini.
 
Wapinzani wanapenda Viongozi wa dini wanaoilaumu serkali tu
Watanzania tuwe wakweli na hasa viongozi wetu wa dini,mnaposema wapinzani wamekosea kujitoa Uchaguzi wa Serikali za mitaa je mnajua sababu za kujitoa?Viongozi wa Dini je walichokifanya Watendaji dhidi ya wagombea wa Upinzani ni sawa cha kukimbia na fomu? Mbona hakikufanyika kwa wagombea wa CCM? Tumwogope Mungu wetu tuwe wakweli ktk Haki.
 
Hao wanaopiga kelele ni wehu...
Gwajima walomshangilia sana...
Lakini akaonekana Lulu...
Ndio maana tunawita chumia tumbo
 
Acha kuwageuzia kibao waislamu na wapagani kuwa wanawachonganisha wakristo na viongozi wao wa dini. Wakristo wamewachoka viongozi hawa wanafiki ambao wameasi kanisa na kuanza kuganga jaa, hawafai hata kwa kumlisha mpaka.
 
Ach
Watanzania tuwe wakweli na hasa viongozi wetu wa dini,mnaposema wapinzani wamekosea kujitoa Uchaguzi wa Serikali za mitaa je mnajua sababu za kujitoa?Viongozi wa Dini je walichokifanya Watendaji dhidi ya wagombea wa Upinzani ni sawa cha kukimbia na fomu? Mbona hakikufanyika kwa wagombea wa CCM? Tumwogope Mungu wetu tuwe wakweli ktk Haki.

Acha uongo, tuonyeshe kavideo huyo mtendaji anavyokimbia, kma ana kasi sana tumtafutie mashindano ya mbio.
 
Yule wa Arusha aliyefunga ofisi na kukimbia bahati nzuri akakanyaga shimo na kuanguka naye Mungu mkuu akakamalizia kamfupa ka mguu wake pyoooooo!
 
Ka
Wapinzani wanapenda Viongozi wa dini wanaoilaumu serkali tu

Ndugu Kawe Alumni, ktk taasisi za kidini makini tunaongozwa na pembetatu ya ukweli, uwajibikaji na uhuru. Yaani, veracity, responsibility and liberty.

Kiongozi anayeheshimu ukweli huu anakubalika ccm hadi upinzani.

Wewe tangu umejivika taji la kutetea uovu wa padre kundy wa Parokia ya kawe umekuwa vuvuzela la porojo za hovyo.

Jitafakari.
Imekuwa ni kawaida sana kwa viongozi wetu wa dini kutuhamasisha kutumia haki zetu kama raia wa Tanzania kushiriki katika chaguzi mbalimbali kuanzia kujiandikisha kupiga kura na hata kuchagua viongozi tunaowataka.

Wakati wa zoezi la kujiandikisha kupiga viongozi hawa wa dini walituhamasisha kwenda kujiandikisha na hatukusikia malalamiko yoyote, lakini leo wanatuhamasisha tena kwenda kuchagua viogozi tunawalaumu.

Makanisa mengi tu yamewakumbusha waumini wao kutumia haki zao kikatiba kuchagua viongozi wao. Ukiangalia kwa umakini unaona hapa ni chuki isiyo na msingi kisa Rais Magufuli ameshiriki ibada katika Kanisa hilo. Wakati huo kuna watu wanatumia mbinu chafu tu ya kutaka kuwagombanisha Wakristo ingawa najua si rahisi kihivyo.

Mwaka 2015 tuliona Wachungaji wa Makanisa mbalimbali wakifanya kampeni za uchaguzi lakini kwa kuwa walikuwa wanapendelea upande wao hatukuwasikia wakipiga kelele na kuwataka Waumini wao kutoshiriki ibada katika makanisa hayo.

Bagonzana Shoo wamekuwa wakiongelea masuala ya kisiasa bila kificho tena yenye maneno ya uchonganishi ndani yake lakini kundi hili linalopiga kelele leo limekuwa likishangilia na kuwaona mashujaa. Sasa leo kauli ya Padri ambaye hata hajaonyesha kupendelea upande wowote zaidi ya kuwahamasisha watu kuchagua viongozi imekuwa tatizo.

Acheni kuwachonganisha Wakristo na viongozi wao wa dini.
 
Uovu wake ni upi?

Maadamu hao viongozi wa dini tunasaka nao madada poa huku mitaani, basi hamna lolote watakalotuambia, waendelee kukaa upande wa shetani lakini hakuna ushauri wa muhuni yoyote tutaufuata. Waendelee kuwahubiria waumini wasiojitambua washiriki kwenye uovu na kusubiri sadaka.
 
Back
Top Bottom