#COVID19 Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19.

Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa chanjo ambayo ufanisi wake ni mashaka matupu.
 
Yule waziri wa mambo ya nje nilidhani kaletwa kwa kazi maalumu ila naona anacheka cheka tu.
 
Back
Top Bottom