Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,963
- 10,457
Akirudi kujibu ni tag 🤣 🤣 🤣Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Akirudi kujibu ni tag 🤣 🤣 🤣Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
Chadema kwa hili siwatetei ni upuuziNimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
Lissu aliwahi kulalamika bungeni waujumuishe wimbo wa taifa kama moja ya tunu za taifa mamibunge ya CCM yakapinga kama kawaida yao. Acha tuwanyooshe ili wawe na ufahamu mkuu! Uchama wanaoendekeza wajue kuna siku yatawarudia.Chadema kwa hili siwatetei ni upuuzi
Mmh.... Hapa usipotoshe.kwa sheria ipi? Unaifahamu sheria ya alama za taifa kweli? Inataja wimbo wa taifa? Na je huu wimbo wa Taifa tunaweza kusema tuna hati miliki nao? Mtunzi unamjua? Mambo mengine tusipende tu kusema kwa vile kasema fulani. Tuwe wakweliAsante
Linapokuja suala la Taifa na tunu zake pamoja na alama zake, lazima tusimame wote kama Watanzania kuzilinda na kuzitetea bila kujali vyama vyetu.
Walichokifanya CHADEMA siyo sawa!
Wanaweza kutengeneza wimbo wao wa chama wakawa nao lakini siyo kuchukua wimbo wetu wa Taifa na kuufanyia distortion.
Ule wimbo ni Dua kwa Taifa zima, haifai kuuchezeachezea!
wa kumbukumbu zaidi, angalia hiyo videoLissu aliwahi kulalamika bungeni waujumuishe wimbo wa taifa kama moja ya tunu za taifa mamibunge ya CCM yakapinga kama kawaida yao. Acha tuwanyooshe ili wawe na ufahamu mkuu! Uchama wanaoendekeza wajue kuna siku yatawarudia.
CCM walibadili lini na wapi wimbo wa taifa..CCM Mbona hawakupewa onyo walipo badili
Jaji anafikiri wimbo ni mali ya CCM..haya kifute basi chama kwa huko unakokuita kukengeuka tukuone!!
yaani unafananisha nyimbo ya taifa na nyimbo ya dini. Ndo maana Chadema wana guts za kufanya ujinga kwasbabu wanawajua wafuasi wao akili zao zilivyo.Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???
Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Sasa kwako kitu sensitive ni kipi. Nyimbo ya dini au nyimbo ya Taifa?yaani unafananisha nyimbo ya taifa na nyimbo ya dini. Ndo maana Chadema wana guts za kufanya ujinga kwasbabu wanawajua wafuasi wao akili zao zilivyo.
Nyimbo ya dini si hata wewe unaweza ukatunga na kuimba. Kuna nyimbo ngapi za dini? Lakini nyimbo ya Taifa ni moja tu na ni tunu kwa taifa, ni utambulisho wa taifa popote pale duniani. Sasa unawezaje kuibadilisha na kuitumia kwa maslahi ya chama. Huo ni utovu wa ni dhamu na ni dharau kubwa kwa taifa. Ndo maana hiki chama kinaitwaga ni genge la wahuni.Sasa kwako kitu sensitive ni kipi. Nyimbo ya dini au nyimbo ya Taifa?
Wapi imekatazwa kudadirisha wimbo wa Taifa??? Taja sheria????Nyimbo ya dini si hata wewe unaweza ukatunga na kuimba. Kuna nyimbo ngapi za dini? Lakini nyimbo ya Taifa ni moja tu na ni tunu kwa taifa, ni utambulisho wa taifa popote pale duniani. Sasa unawezaje kuibadilisha na kuitumia kwa maslahi ya chama. Huo ni utovu wa ni dhamu na ni dharau kubwa kwa taifa. Ndo maana hiki chama kinaitwaga ni genge la wahuni.
Umenena vyema !Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu
Pole, ni wewe, wengine wachache pamoja na kakundi kako ka wasiojulikanaVitu kama hivi ndo vinafanya wananchi waone upinzani kama watu wasiojielewa
Alisahau Botswana ambao pamoja na Zimbabwe walikuja badili nyimbo zao za Taifa.