Tuache kununua bidhaa kwenye Maduka ya Wapemba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache kununua bidhaa kwenye Maduka ya Wapemba.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ehud, May 8, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Leo tumeshuhudia jinsi Watu wa Zanzibar walivyothubutu kuchoma maduka ya ndugu zetu wa bara huko kisiwani Unguja. Kama ilivyo ada ya watz hasa wa bara hatuna cha kufanya natumebakia kulalama bila kuchukua hatua yoyote.

  Kwa kuanzia ili kuonyesha hasira zetu nashauri tuache kabisa kununua bidhaa toka kwenye maduka yoyote yanayomilikiwa na watu wa asili ya Zanzibar. Kama wataendelea na mchezo wao wa kuwaonea ndugu zetu wa bara huko Visiwani tuchome moto maduka hayo na nyumba zao.

  Nawakilisha
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mwarabu wa Pemba,

  Si mali kitu wale
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Muungano uvunjike, let them die
   
 4. h

  hahoyaya Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Hivi, sis watanganyika tumelogwa na nani? kwa nini tunageuzwa tambara la deki!!!! kesho naanza rasmi, hakuna kununua kitu kwa mpemba...watakula jeuri yao
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wafilisike wafie mbali hao wala halua
   
 6. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tusilipize baya kwa baya.
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Xenophobia mbaya sana usiombe yakukute
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wana roho mbaya kweli.....
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kweli, japokuwa ni wabaguzi sana, utafikiri ni jamii ya akina marehemu Osama bin Laden!
   
 10. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Xenophobia?!
   
 11. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Xenophobia is defined as the
  "hatred or fear of foreigners or
  strangers or of their politics or
  culture".[1] It comes from the
  Greek words ξένος (xenos),
  meaning "stranger," "foreigner"
  andφόβος (phobos), meaning
  "fear."[2]
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  MS si ulidai kupitia Gazeti la MwanaHALISI kwamba umefungiwa maisha na JF, umetokaje?
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wao wachome moto maduka ya ndugu zetu sisi tususie kwanini tusifikilia kuchoma na sisi kama waivyofanya huko unguja maana wanasema dawa ya moto ni moto...Mkuu niambie maduka ya wapemba hapa Arusha yako pande zipi Dar najua yamejaa...
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Arusha hamna maduka ya wapemba huku hawawezi toboa huoni wahindi wenyewe wanakimbia!
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Roho za visasi sio roho nzuri.
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Pana wakati huwa inatakiwa kutowa mfano LIVE kwa hawa watu ndiyo watajua nini maana ya kucheza na Tanganyika.

  Ukiwaachia hivi, watatutia vidole machoni na sisi tunachekacheka tu.......

  Walau tuanze kwa kususia maduka yao. Ninasema sintanunua tena bidhaa kwa Wapemba.
   
 17. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mnajua kinachonikera ni nini? most of the topic hapa haziwafikii wale wa uswahili ambaye kila kitu ananunua kwa huyo mpemba, ni nani atafikisha huo ujumbe? lazima tupate muwakilishi wa kufikisha huu ujumbe uswahili au kama vijarida vitengenezwe vipelekwe uswazi kuhamasisha watu kufanya mgomo :A S-frusty:.

  Mtoa hii Thread u r fricking genius:cheer2:
   
 18. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :llama::llama::llama::llama::llama:Wamesahau kuwa Mtikila na sera yake ya uzawa bado wapo? Kwanini wanasahau kuwa duniani hakuna mtu anaweza kuishi kama kisiwa. Akuanzaye......? Jibu mnalo maana tumewabeba sana viumbe hawa marhuni.:llama::llama::llama::llama:
   
 19. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kumbe kwenye red ni asili yetu wabongo:-
  1: Tukiibiwa kwa EPA, KAGODA, Deep Green, Meremeta-tunachekacheka,
  2: Tukiwekewa mikataba mibovu ya uwekezaji uchwara-tuanchekacheka,
  3: Tukidanganywa maisha bora kwa kila Mbongo tutapata-tunachekacheka,
  4: Rais akichagua Waziri, mkuu wa Mkoa/Wilaya demu wake-tunachekacheka tu,
  5: Mtoto wa Rais anakuwa na madaraka yasiyoeleweka kitaifa-tunachekacheka tu,
  6: Mke wa Mkuu wa kaya anatumia rasilimali za Taifa bila utaratibu-tunakenua meno,
  7: Mahakama zinawaachia wauwaji vigogo kwa faini kiduchu-tunachekacheka tu,
  8: Magamba yanachakachua matokeo ya uchaguzi-tunachekacheka tu,
  9: Hali ngumu ya maisha na shilingi inaporomoka kila siku-tunachekacheka tu,
  10: Umeme unafanywa kama siyo haki ya raia-tunachekacheka tu,
  11: Kodi kwa wafanyakazi (PAYE) inawekwa kuubwa-tunachekacheka tu.
  12: Sukari na petrol zinapandishwa watakavyo-tunachekacheka tu.
  13: Wazenji hawatutaki kwao-tunachekacheka tu
  15: Rais kwa kutuona hamnazo, naye anatuchekea chekea tu!
  16.....Endelea!

  Hivi nani katuloga? Hivi lini tutasema HAPANA-HATUDANGANYIKI?
  Lini tutafanya maamuzi magumu kukomboa nchi yetu toka kwa mawakala wa mafisadi?
   
 20. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hivi sababu ya hao kuchoma moto ni ipi?cyo tukurupuke 2..beside hawa watu wa asili ya visiwani wamejaa k/koo..Hawa biashara ni jadi yao.Wakiondoka nani tena watakaa madukani.what i knw wabongo wengi tunapenda kazi za maofisini.beside kuvunjika hata kwa muungano mfano,hawa watu wa visiwani watapata taabu kwa muda 2..ila nyenzo wanazo kimtindo,zinahitaji ucmamizi mzuri
   
Loading...