Tuache kujibagaza, tukitaka kuwa wazalendo wa kweli tutafute suluhu ya kudumu dhidi ya mkulima Steyn

Hapo kwenye nini kifanyike labuda sio serikali ya awamu hii maana hii tayari ni vita isiyopigwa kwa silaha
 
Hiki kiazi cha wapi sijui.
Ha ha ha ha, hii Nchi ina vituko Sana eti jamaaa aliyesoma pale SAUT baada ya kukosa vyuo vingine anakuja hapa Kumukosoa Prof. wa sheria kwenye Mambo ya kisheria na watu wanakuja hapa kumshangilia.

Hivi hii Nchi nani ametuloga?! Hata Kama angekuwa Sahihi Malisa hana Credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi achilia mbali Credibility ya kuzungumza mambo ya kisheria na degree yake sijui ya Matango kutoka pale SAUT.

Hilo tu kwangu linatosha kupuuza alichoandika Malisa hata Kama angekuwa sahihi kiasi gani. Malisa hana credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi, lakini pia hana Credibility ya kuzungumzia legal issues, he is a layman (Ni Mpumbavu kwenye tasnia hii).

Pamoja na upumbavu wake, kwakuwa ameshaandika labda aje atueleze Kama hata hiyo Resjudicata anaijua maana yake, applicability yake je, at what point unaweza ku invoke hii principle. Je kuwa tu umeshashindwa kwenye Mahakama fulani inakufanya usiwe na uwezo wa kufungua kesi sehemu nyingine( Na hapa ieleweke Kuna tofauti ya kufungua kesi na kushinda kesi).

Nani anapaswa ku raise hiyo arguement ya Resjudicata na katika hatua gani. Ni hivi huyo mkulima kuwa ameshashindwa principle ya Resjudicata haimuzuii kufungua shauri sehemu nyingine, anaruhusiwa kufungua then upande wa pili ndo una jukumu la kwenda mbele ya Mahakama na kuraise hiyo issue ya Resjudicata na Mahakama ipitie Nyaraka na ijiridhishe then I rule out. Kwamba Stain alishindwa Africa Kusini haimanishi Mahakama za Canada zinajua hilo. Ni Mpaka pale upande wa pili utakapoijulisha kuwa swala hilo limeshaamriwa na Mahakama nyingine on Merit.

Narudia kama una akili, when It comes to legal issues utakuwa ni Mpumbavu wa mwisho Kama utachagua kumsikiliza na kuamini alichokisema Malisa badala ya Prof. Kabudi, narudia wewe utakuwa ni Mbumbumbu wa kutupwa, hata Kama Malisa angekuwa sahihi kiasi gani, hapa Kabudi anapaswa kusikilizwa.

The man has got credibility, acheni uzwazwa, Malisa aache uzwazwa, aache kuvamia vitu asivyovijua, Kama anapenda aende asome sheria apate credibility ya kuzungumza sheria, otherwise yeye ni Mpumbavu wa sheria hata angejitutumua kiasi gani.
 
[QUOTE="kajekudya, post: 33564940, member:utakuwa ni Mpumbavu wa mwisho Kama utachagua kumsikiliza na kuamini alichokisema Malisa badala ya Prof. Kabudi, narudia wewe utakuwa ni Mbumbumbu wa kutupwa, hata Kama Malisa angekuwa sahihi kiasi gani, hapa Kabudi anapaswa kusikilizwa.The man has got credibility, acheni uzwazwa, Malisa aache uzwazwa, aache kuvamia vitu asivyovijua, Kama anapenda aende asome sheria apate credibility ya kuzungumza sheria, otherwise yeye ni Mpumbavu wa sheria hata angejitutumua kiasi gani.
Ina maana hapa tupo katika Hadithi ya Malisa na Kabudi au tupo kwenye Reality
Ndege imekamatwa wewe weka Hoja zako hapa achana na Malisa au Post ya Mshana
inaonesha wewe ni MPUMBAVUA kabisa wa kutumwa eti watu wa upande huu wa Goli lililofungwa ni wapumbavu wanamuamini ....
wewe leta Hoja huyo Steyn ASILIPWE basi gari zake 250 mashamba na mitambo aliiba au Dola 20M alizopewa awamu ya 3 zilimtosha
[/QUOTE]
Ndege imekamatwa kwakuwa stein amefungua kesi, na stein kufungua kesi haimanishi atashinda, Mahakama ilichofanya ni ile principle tu ya kila mtu anayo haki ya kusikilizwa, so Kama stein amefungua kesi Mahakama lazima ipokee maombi yake then isubiri upande wa pili uende nao utoe maelezo. Sasa Prof.wa sheria anasema Kesi kule Africa Kusini Serikali ilishinda, halafu anakuja BOYA mmoja na kadigrii kake ka Matikiti kutoka SAUT anasema Prof. Anadanganya halafu wewe unamshangilia na Mjinga hapa. Wewe ni Zwazwa!
 
Ha ha ha ha, hii Nchi ina vituko Sana eti jamaaa aliyesoma pale SAUT baada ya kukosa vyuo vingine anakuja hapa Kumukosoa Prof. wa sheria kwenye Mambo ya kisheria na watu wanakuja hapa kumshangilia.

Hivi hii Nchi nani ametuloga?! Hata Kama angekuwa Sahihi Malisa hana Credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi achilia mbali Credibility ya kuzungumza mambo ya kisheria na degree yake sijui ya Matango kutoka pale SAUT.

Hilo tu kwangu linatosha kupuuza alichoandika Malisa hata Kama angekuwa sahihi kiasi gani. Malisa hana credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi, lakini pia hana Credibility ya kuzungumzia legal issues, he is a layman (Ni Mpumbavu kwenye tasnia hii).

Pamoja na upumbavu wake, kwakuwa ameshaandika labda aje atueleze Kama hata hiyo Resjudicata anaijua maana yake, applicability yake je, at what point unaweza ku invoke hii principle. Je kuwa tu umeshashindwa kwenye Mahakama fulani inakufanya usiwe na uwezo wa kufungua kesi sehemu nyingine( Na hapa ieleweke Kuna tofauti ya kufungua kesi na kushinda kesi).

Nani anapaswa ku raise hiyo arguement ya Resjudicata na katika hatua gani. Ni hivi huyo mkulima kuwa ameshashindwa principle ya Resjudicata haimuzuii kufungua shauri sehemu nyingine, anaruhusiwa kufungua then upande wa pili ndo una jukumu la kwenda mbele ya Mahakama na kuraise hiyo issue ya Resjudicata na Mahakama ipitie Nyaraka na ijiridhishe then I rule out. Kwamba Stain alishindwa Africa Kusini haimanishi Mahakama za Canada zinajua hilo. Ni Mpaka pale upande wa pili utakapoijulisha kuwa swala hilo limeshaamriwa na Mahakama nyingine on Merit.

Narudia kama una akili, when It comes to legal issues utakuwa ni Mpumbavu wa mwisho Kama utachagua kumsikiliza na kuamini alichokisema Malisa badala ya Prof. Kabudi, narudia wewe utakuwa ni Mbumbumbu wa kutupwa, hata Kama Malisa angekuwa sahihi kiasi gani, hapa Kabudi anapaswa kusikilizwa.

The man has got credibility, acheni uzwazwa, Malisa aache uzwazwa, aache kuvamia vitu asivyovijua, Kama anapenda aende asome sheria apate credibility ya kuzungumza sheria, otherwise yeye ni Mpumbavu wa sheria hata angejitutumua kiasi gani.

Chezea Degree 4 !?
 
Kama waliamini kuwa mkulima anastahili $20M, je walirudi mahakamani au walikubaliana na huyo mkulima kwa kiwango hicho? Vinginevyo basi nchi yangu pendwa bado itakuwa inadaiwa $16M + accrued interest. Na takuwa na haki kutumia mbinu zozote (za kisheria) kupata haki yake.
Hakika mkuu
 
Mboyoyo nyingi kelele, kama unaijua sheria nenda Ikulu ya Dodoma ukamueleze Rais ili na wewe uwe miongoni mwa watu wanao enda kutukombolea ndege yetu uko kwa mabeberu maana tunaihitaji sana.
Ona BOYA lingine hili hapa!
 
Unapoleta madai nyeti kama haya inabidi ubalance pande zote. Tunajua mawakili wake huyu mzungu na wanaoleta ukimbelembele wa madai haya ni hawa wenye majina ya akina MALISA.
Kwanza tuambie huyo mzungu hayo malaki ya maekari aliyapataje? Ni mzawa? Alipora hiyo ardhi ya umma kwa unyonyaji wa kikoloni ndo maana Nyerere akaitaifisha. Hata hivyo kwavile baadhi ya ardhi alikuwa ameishaiendeleza na Mali zinazohamishika kama magari, ndege ndogo za tours, n.k. ndo maana Nyerere akamuachia kiasi fulani cha ekari (nyingi tu) kama fidia ya mali zinazohamishika na Huyo mzungu akutaka kuendelea na mgogoro na serikali ya Tanzania akakubali yaishe. Nyie akina Malisa wapiga deal kwavile mnajua mna 10% ndo mnalianzisha ili mpige hela. Sasa sikia, kwa serikali hii kama kulipa italipa lakini sio rahisi kihivyo. Tunajua mnakopa hela nyingi tena kwa riba kufungua kesi ugenini mkidhani mtalipwa kirahisi na kurejesha mkopo. Hiyo hela ina mawili kulipwa au kutolipwa: Kwanza huyo mzungu alishalipwa dola mil.20 na mwinyi ni zaidi ya miaka 35 hivi. Pili huyo mzungu aliachiwa hekari kibao na bado anazo anaendelea kuzimiliki. Sasa nyie mnataka cash kusudi mpate 10% lakini huyo mzungu anajua itakula kwake maana atanyanganywa ardhi ndo maana alikubali yaishe. Endelea kupima joto la serikali hii mkidhani mtapata hela ya bure. Why now? Kwani nchi haina mali nje ya nchi miaka hiyo yoote mbona hazijawahi kuzuiwa? ATCL haikuwa na International routes kabla ya kufilisika mbona hatukusikia hawamu ya Mkapa, na Kikwete ndege zetu zikikamatwa? Baadhi ya balozi zetu nje ya nchi hayo majengo tumejenga wenyewe ni mali zetu mbano hayajawahi kiwekewa kofuli kufidia? Nchi ina gold deposits kwenye benki ya dunia kureflect paper/coin money mbona hazijawahi kushikiliwa? Ukweli ni kwamba myanya yooote ya wizi wa mali za umma na utakatishaji wa hela chafu na madawa ya kulevya, huo mtandao JPM kausambaratisha! Endeleeni kukopa hela kuendesha kesi mtaangukia pua! Shwaini!
Unajaribu kujibu hoja ya malisa kwa kutumia makalio sio bongo, kwani ubabe wenu wa kishamba mnamkomoa Malisa??

Mpaka sasa tumeisjapata hasara kubwa kwa ndege kukamatwa na ku-canxel route za zenye wateja wengi, kumuhofia mzungu
Mpaka sasa serikali ya ccm inaishi kama digi digi, hata uchaguzi umewashinda, sijui mtaweza nini?
 
Ina maana hapa tupo katika Hadithi ya Malisa na Kabudi au tupo kwenye Reality
Ndege imekamatwa wewe weka Hoja zako hapa achana na Malisa au Post ya Mshana
inaonesha wewe ni MPUMBAVUA kabisa wa kutumwa eti watu wa upande huu wa Goli lililofungwa ni wapumbavu wanamuamini ....
wewe leta Hoja huyo Steyn ASILIPWE basi gari zake 250 mashamba na mitambo aliiba au Dola 20M alizopewa awamu ya 3 zilimtosha
Ndege imekamatwa kwakuwa stein amefungua kesi, na stein kufungua kesi haimanishi atashinda, Mahakama ilichofanya ni ile principle tu ya kila mtu anayo haki ya kusikilizwa, so Kama stein amefungua kesi Mahakama lazima ipokee maombi yake then isubiri upande wa pili uende nao utoe maelezo. Sasa Prof.wa sheria anasema Kesi kule Africa Kusini Serikali ilishinda, halafu anakuja BOYA mmoja na kadigrii kake ka Matikiti kutoka SAUT anasema Prof. Anadanganya halafu wewe unamshangilia na Mjinga hapa. Wewe ni Zwazwa![/QUOTE]Kama ndege imekamatwa kwa kuwa mkulima amefungia kesi mahakaman huko Canada, serikal ya Canada inaingiaje hapa mpaka Kabudi ailalamikie, tatizo lako unajifanya unajua kutokujua, yaan unadharau alichoandika Malisa kisa kasoma SAUTI?
 
Ina maana hapa tupo katika Hadithi ya Malisa na Kabudi au tupo kwenye Reality
Ndege imekamatwa wewe weka Hoja zako hapa achana na Malisa au Post ya Mshana inaonesha wewe ni MPUMBAVU kabisa wa kutumwa eti watu wa upande huu wa Goli lililofungwa ni wapumbavu wanamuamini. Wewe leta Hoja huyo Steyn ASILIPWE basi gari zake 250 mashamba na mitambo aliiba au Dola 20M alizopewa awamu ya 3 zilimtosha.
Wewe nawe acha kuwa Zwazwa, kwani stei kufungua kesi ndo ameshinda, inachofanya Mahakama ya Canada na kutekeleza ile haki ya kusikilizwa, kwamba Stein amefungua kesi huko lazima maombi yake yasikilizwe na upande wa pili uitwe ukatoe maelezo yake. Hata wewe ukitaka kesho nenda ukafungue kesi Mahakamani uombe Serikali ikutambue kuwa wewe ni mwanamke, maombi yako yatapokelewa, lakini Maombi yako kupokelewa haitamanisha wewe umekuwa mwanamke, ni hadi Mahakama itakaporishika na hoja zako ndipo itatoa amri uwe mwanamke. Sijui Kama hata umeelewa hapa.
Kuhusu Malisa, Narudia Kama una akili timamu na Prof.Kabudi, Prof. Wa sheria akisema Kule Africa Kusini Serikali alishinda kesi, halafu Malisa na kadigrii kake ka mnafu kutoka SAUT akaja akasema Prof. anadanganya, na wewe ukamshangilia Malisa, basi wewe ni Zwazwa, kiufupi akili yako unapaswa kuichunguza Kama iko sawa!
 
Wewe nawe acha kuwa Zwazwa, kwani stei kufungua kesi ndo ameshinda, inachofanya Mahakama ya Canada na kutekeleza ile haki ya kusikilizwa, kwamba Stein amefungua kesi huko lazima maombi
Mada KAMA HUNA AKILI TIMAMU USISOME
tunachokijadili kiliamuliwa mwaka 1980 sio leo wewe unachozungumzia kuwa Steyn kafungua kesi, nimeamini wewe ni Bushlawyer umepandikizwa kuchafua chochote hata ukiambiwa vua nguo inama hutauliza na mwaka 1980 utaifishwaji HUKUWEPO
Air Tanzania: Kesi ya utaifishwaji ya mwaka 1980 yazua mgogoro upya
 
Back
Top Bottom