Tuache kujibagaza, tukitaka kuwa wazalendo wa kweli tutafute suluhu ya kudumu dhidi ya mkulima Steyn

Halafu kuna hukumu

Halafu kuna tuzo nyingine ya 55billion inahusu magari ya kijeshi alishinda mhindi fulani nimemsahau jina.
Naye nadhani karibu anakamata dreamliner yetu huko India
Watu wanashindwa kusimama na kutatua tatizo kwa undani kwa vile sifa ya kutumbuana imeshika kasi.
Watu wanaambiana makazini kuwa ikifika ijumaa ukiondoka ofisini usiache kitu maana jumatatu waweza kukuta mtu mwingine ana ofisi yako.
 
Unapoleta madai nyeti kama haya inabidi ubalance pande zote. Tunajua mawakili wake huyu mzungu na wanaoleta ukimbelembele wa madai haya ni hawa wenye majina ya akina MALISA.
Kwanza tuambie huyo mzungu hayo malaki ya maekari aliyapataje? Ni mzawa? Alipora hiyo ardhi ya umma kwa unyonyaji wa kikoloni ndo maana Nyerere akaitaifisha. Hata hivyo kwavile baadhi ya ardhi alikuwa ameishaiendeleza na Mali zinazohamishika kama magari, ndege ndogo za tours, n.k. ndo maana Nyerere akamuachia kiasi fulani cha ekari (nyingi tu) kama fidia ya mali zinazohamishika na Huyo mzungu akutaka kuendelea na mgogoro na serikali ya Tanzania akakubali yaishe. Nyie akina Malisa wapiga deal kwavile mnajua mna 10% ndo mnalianzisha ili mpige hela. Sasa sikia, kwa serikali hii kama kulipa italipa lakini sio rahisi kihivyo. Tunajua mnakopa hela nyingi tena kwa riba kufungua kesi ugenini mkidhani mtalipwa kirahisi na kurejesha mkopo. Hiyo hela ina mawili kulipwa au kutolipwa: Kwanza huyo mzungu alishalipwa dola mil.20 na mwinyi ni zaidi ya miaka 35 hivi. Pili huyo mzungu aliachiwa hekari kibao na bado anazo anaendelea kuzimiliki. Sasa nyie mnataka cash kusudi mpate 10% lakini huyo mzungu anajua itakula kwake maana atanyanganywa ardhi ndo maana alikubali yaishe. Endelea kupima joto la serikali hii mkidhani mtapata hela ya bure. Why now? Kwani nchi haina mali nje ya nchi miaka hiyo yoote mbona hazijawahi kuzuiwa? ATCL haikuwa na International routes kabla ya kufilisika mbona hatukusikia hawamu ya Mkapa, na Kikwete ndege zetu zikikamatwa? Baadhi ya balozi zetu nje ya nchi hayo majengo tumejenga wenyewe ni mali zetu mbano hayajawahi kiwekewa kofuli kufidia? Nchi ina gold deposits kwenye benki ya dunia kureflect paper/coin money mbona hazijawahi kushikiliwa? Ukweli ni kwamba myanya yooote ya wizi wa mali za umma na utakatishaji wa hela chafu na madawa ya kulevya, huo mtandao JPM kausambaratisha! Endeleeni kukopa hela kuendesha kesi mtaangukia pua! Shwaini!
Maneno mengi lakini, kuna mambo mengi kumbe huyajui?!! Hata hu jui ni kwanin, kipindii cha nyuma hakuna mali ya serikali ilishawahi kamatwa! Kaangalie ripoti zaCAG, za 2014,kurudi nyuma,ndio uje hapa tena!! Huko nyuma alikuwa akilipwa kidogo kidogo, hadi hapo alipoingia anayedhania kila kauli yake ndio sheria(ni kwa ndani tu) kwa nje hakuna kitu kama hicho
 
Unadhihirisha ujinga wako kwa kushambulia personality ya Malisa GJ badala ya kutoa mawazo yako juu hoja iliyo mezani kwa mjadala......

Mfano;

1. Kama yeye hajui maana ya "Resjudicata" (kama ulivyoandika mwenyewe) huku wewe "ukijifanya?" unajua, kwanini basi usitusaidie wana Forum wenzako kuielewa hiyo tofauti na alivyoeleza mwenzako?

But what did you do?......Absolutely nothing rather than attacking the writer's personality!!

2. Eleza ndege imekamatwa kweli au siyo? Kama ni kweli ni kwanini imekamatwa?

3. Tunavyoelewa sisi, Bombardier imekamatwa kwa AMRI HALALI ya mahakama ya Canada kwa sababu kuna mtu anayesema anaidai serikali ya Tanzania deni lake na amefuata taratibu zote za kisheria kupata amri hiyo...

Sasa leo iweje kina Kabudi wanazungumzia ishu ya kisheria na kimahakama kwenye jukwaa la kisiasa tena katika namna ya kama wana elevi wa madaraka hivi, kiburi na kwa kutumia lugha ya kubagaza? Kwanini wasiende Canada na kupinga kwa hoja za kisheria kuwa jamaa hana haki ya kuzuia ndege ya serikali ya Tanzania??

4. Nilidhani pia, ungesema serikali ilipe deni la mtu au isilipe?

Kama isilipe, kwanini unadhani isilipe?

Cha ajabu kuna mwenzako mmoja hapo juu eti anajitetea na kuitetea serikali ya TZ kuwa haina haja ya kumlipa huyu mkulima kwa sababu eti serikali haikumpatia hiyo ardhi kihalali...!!

Seriously?
Kama ku aatack personalities nadhani ulipaswa umlaumu Malisa ambaye na Kabacheloe kake ka mnafu anajipa ujasiri wq Kumu attack Prof.Wa sheria Tena kwenye issues za sheria. Ulipaswa umshangae Maliss kwanza kabla ya kunishangaa Mimi.
 
Ina maana hapa tupo katika Hadithi ya Malisa na Kabudi au tupo kwenye Reality
Ndege imekamatwa wewe weka Hoja zako hapa achana na Malisa au Post ya Mshana
inaonesha wewe ni MPUMBAVUA kabisa wa kutumwa eti watu wa upande huu wa Goli lililofungwa ni wapumbavu wanamuamini ....
wewe leta Hoja huyo Steyn ASILIPWE basi gari zake 250 mashamba na mitambo aliiba au Dola 20M alizopewa awamu ya 3 zilimtosha
Ndege imekamatwa kwakuwa stein amefungua kesi, na stein kufungua kesi haimanishi atashinda, Mahakama ilichofanya ni ile principle tu ya kila mtu anayo haki ya kusikilizwa, so Kama stein amefungua kesi Mahakama lazima ipokee maombi yake then isubiri upande wa pili uende nao utoe maelezo. Sasa Prof.wa sheria anasema Kesi kule Africa Kusini Serikali ilishinda, halafu anakuja BOYA mmoja na kadigrii kake ka Matikiti kutoka SAUT anasema Prof. Anadanganya halafu wewe unamshangilia na Mjinga hapa. Wewe ni Zwazwa!
[/QUOTE]

Hakuna kesi iliyofunguliwa ndugu....!!

Kesi ilishaunguruma miaka mingi iliyopita tena katika mahakama ya Tanzania na serikali ikaangukia pua...!!

Alichonacho Bwana Steyn mkononi mwake ni hukumu inayompa haki yeye kulipwa haki yake.....

Huko CANADA, anachokifanya huyu ndugu ni kuiomba mahakama impe haki ya kukamata mali za mdaiwa ambaye ni serikali ya Tanzania....

Labda, anayepaswa kufungua kesi ni mdaiwa kuipinga hukumu hiyo iwapo anaona haridhiki na maamuzi ya awali ya mahakama....!!

Shauri lenu, mkizubaa na kuendelea kujishaua shaua kwa mtindo wa Kabudi, Bombardier itauzwa kufidia deni la mkulima!!!!!
 
Kama ku aatack personalities nadhani ulipaswa umlaumu Malisa ambaye na Kabacheloe kake ka mnafu anajipa ujasiri wq Kumu attack Prof.Wa sheria Tena kwenye issues za sheria. Ulipaswa umshangae Maliss kwanza kabla ya kunishangaa Mimi.

Nimemsoma Malisa GJ mwanzo hadi mwisho....

Alichofanya mwenzio siyo ku - attack personality ya Prof Kabudi as Kabudi bali kukosoa approach yake kwenye issue hii kwa hoja....

Tena mwenzio katoa hadi mapendekezo ya nini kifanyike ili kutatua saga hii...

Hii ni contrary kwako. Wewe badala yake ukawa egomaniac kwa kujiona degree yako ya sheria ni bora zaidi kuliko ya mleta hoja eti kwa sababu amesomea SAUT....!!

Unashangaza kidogo Mkubwa na inaonesha hiyo degree yako ni absolutely useless iwapo upo kwa ajili ya kupandishwa mabega juu na kujitangaza kuwa una degree bora ya sheria
 
Umenikumbusha waziri wa ujenzi kipindi kivuko cha ukara kimezama alitishia kuwashitaki walio shauri ajiuzuru
Ni mda sahihi wa wewe kujiuzulu kwani umeshindwa kutatua tatizo lililopo. Kumuita balozi sio suluhisho kwani nchi ya Canada haiongozwi kwa maamuzi ya mtu binafsi bali kwa katiba na sheria za kimataifa.
Je ni kweli mmezungumza na mhusika juu ya hili tatizo? Na kama mmefanya hivyo wekeni maamuzi/ mazungumzo nje ili watanzania wajue undani wa tatizo.
Kufichaficha mambo kama haya kunatoa nafasi kwa wananchi kutokuwa na imani na serikali.
 
Unapoleta madai nyeti kama haya inabidi ubalance pande zote. Tunajua mawakili wake huyu mzungu na wanaoleta ukimbelembele wa madai haya ni hawa wenye majina ya akina MALISA.
Kwanza tuambie huyo mzungu hayo malaki ya maekari aliyapataje? Ni mzawa? Alipora hiyo ardhi ya umma kwa unyonyaji wa kikoloni ndo maana Nyerere akaitaifisha. Hata hivyo kwavile baadhi ya ardhi alikuwa ameishaiendeleza na Mali zinazohamishika kama magari, ndege ndogo za tours, n.k. ndo maana Nyerere akamuachia kiasi fulani cha ekari (nyingi tu) kama fidia ya mali zinazohamishika na Huyo mzungu akutaka kuendelea na mgogoro na serikali ya Tanzania akakubali yaishe. Nyie akina Malisa wapiga deal kwavile mnajua mna 10% ndo mnalianzisha ili mpige hela. Sasa sikia, kwa serikali hii kama kulipa italipa lakini sio rahisi kihivyo. Tunajua mnakopa hela nyingi tena kwa riba kufungua kesi ugenini mkidhani mtalipwa kirahisi na kurejesha mkopo. Hiyo hela ina mawili kulipwa au kutolipwa: Kwanza huyo mzungu alishalipwa dola mil.20 na mwinyi ni zaidi ya miaka 35 hivi. Pili huyo mzungu aliachiwa hekari kibao na bado anazo anaendelea kuzimiliki. Sasa nyie mnataka cash kusudi mpate 10% lakini huyo mzungu anajua itakula kwake maana atanyanganywa ardhi ndo maana alikubali yaishe. Endelea kupima joto la serikali hii mkidhani mtapata hela ya bure. Why now? Kwani nchi haina mali nje ya nchi miaka hiyo yoote mbona hazijawahi kuzuiwa? ATCL haikuwa na International routes kabla ya kufilisika mbona hatukusikia hawamu ya Mkapa, na Kikwete ndege zetu zikikamatwa? Baadhi ya balozi zetu nje ya nchi hayo majengo tumejenga wenyewe ni mali zetu mbano hayajawahi kiwekewa kofuli kufidia? Nchi ina gold deposits kwenye benki ya dunia kureflect paper/coin money mbona hazijawahi kushikiliwa? Ukweli ni kwamba myanya yooote ya wizi wa mali za umma na utakatishaji wa hela chafu na madawa ya kulevya, huo mtandao JPM kausambaratisha! Endeleeni kukopa hela kuendesha kesi mtaangukia pua! Shwaini!
Daah we jamaa kama nakuona vile ulivyoyatoa macho kama yule waziri aliyetuhabarisha hii habari kwanza nyeee nyeee nyeee
 
Wanajukwaa, je kuna, haja ya kusaidiana kimawazo na hawa viumbe? Maana walipotoka bondeni walisema kuwa wana PhD tatu zilizowaletea ushindi! Au tusubiri kwanza kuona hizo PhD tatu zitarudi na nini?
 
Ha ha ha ha, hii Nchi ina vituko Sana eti jamaaa aliyesoma pale SAUT baada ya kukosa vyuo vingine anakuja hapa Kumukosoa Prof. wa sheria kwenye Mambo ya kisheria na watu wanakuja hapa kumshangilia.

Hivi hii Nchi nani ametuloga?! Hata Kama angekuwa Sahihi Malisa hana Credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi achilia mbali Credibility ya kuzungumza mambo ya kisheria na degree yake sijui ya Matango kutoka pale SAUT.

Hilo tu kwangu linatosha kupuuza alichoandika Malisa hata Kama angekuwa sahihi kiasi gani. Malisa hana credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi, lakini pia hana Credibility ya kuzungumzia legal issues, he is a layman (Ni Mpumbavu kwenye tasnia hii).

Pamoja na upumbavu wake, kwakuwa ameshaandika labda aje atueleze Kama hata hiyo Resjudicata anaijua maana yake, applicability yake je, at what point unaweza ku invoke hii principle. Je kuwa tu umeshashindwa kwenye Mahakama fulani inakufanya usiwe na uwezo wa kufungua kesi sehemu nyingine( Na hapa ieleweke Kuna tofauti ya kufungua kesi na kushinda kesi).

Nani anapaswa ku raise hiyo arguement ya Resjudicata na katika hatua gani. Ni hivi huyo mkulima kuwa ameshashindwa principle ya Resjudicata haimuzuii kufungua shauri sehemu nyingine, anaruhusiwa kufungua then upande wa pili ndo una jukumu la kwenda mbele ya Mahakama na kuraise hiyo issue ya Resjudicata na Mahakama ipitie Nyaraka na ijiridhishe then I rule out. Kwamba Stain alishindwa Africa Kusini haimanishi Mahakama za Canada zinajua hilo. Ni Mpaka pale upande wa pili utakapoijulisha kuwa swala hilo limeshaamriwa na Mahakama nyingine on Merit.

Narudia kama una akili, when It comes to legal issues utakuwa ni Mpumbavu wa mwisho Kama utachagua kumsikiliza na kuamini alichokisema Malisa badala ya Prof. Kabudi, narudia wewe utakuwa ni Mbumbumbu wa kutupwa, hata Kama Malisa angekuwa sahihi kiasi gani, hapa Kabudi anapaswa kusikilizwa.

The man has got credibility, acheni uzwazwa, Malisa aache uzwazwa, aache kuvamia vitu asivyovijua, Kama anapenda aende asome sheria apate credibility ya kuzungumza sheria, otherwise yeye ni Mpumbavu wa sheria hata angejitutumua kiasi gani.
Wewe zombi, marehemu Christopher Mtikila alikuwa akifungua kesi Mahakamani na kuishinda serikali mara kwa mara, naomba uniambie Mtikila alisoma sheria katika chuo gani? Kenya kuna jamaa anaitwa Omukiya Omutata anaishinda serikali mara nyingi mahakamani na kesi zake anasimamia mwenyewe na hata siyo mwanasheria.

Kujua sheria siyo hadi ukae darasani kwanza sheria yenyewe katika kifungu cha 8 cha Kanuni za Adhabu ina assume kwamba kila mtu anajua sheria ndiyo maana kutokujua sheria siyo utetezi mahakani isipokuwa kama sheria itataka hivyo. Basi isiwe tabu, ngoja tuseme ni kweli Canada ndo imeshikilia ndege yetu maana anayejua sheria kasema.
 
Ha ha ha ha, hii Nchi ina vituko Sana eti jamaaa aliyesoma pale SAUT baada ya kukosa vyuo vingine anakuja hapa Kumukosoa Prof. wa sheria kwenye Mambo ya kisheria na watu wanakuja hapa kumshangilia.

Hivi hii Nchi nani ametuloga?! Hata Kama angekuwa Sahihi Malisa hana Credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi achilia mbali Credibility ya kuzungumza mambo ya kisheria na degree yake sijui ya Matango kutoka pale SAUT.

Hilo tu kwangu linatosha kupuuza alichoandika Malisa hata Kama angekuwa sahihi kiasi gani. Malisa hana credibility ya Kumkosoa Prof. Kabudi, lakini pia hana Credibility ya kuzungumzia legal issues, he is a layman (Ni Mpumbavu kwenye tasnia hii).

Pamoja na upumbavu wake, kwakuwa ameshaandika labda aje atueleze Kama hata hiyo Resjudicata anaijua maana yake, applicability yake je, at what point unaweza ku invoke hii principle. Je kuwa tu umeshashindwa kwenye Mahakama fulani inakufanya usiwe na uwezo wa kufungua kesi sehemu nyingine( Na hapa ieleweke Kuna tofauti ya kufungua kesi na kushinda kesi).

Nani anapaswa ku raise hiyo arguement ya Resjudicata na katika hatua gani. Ni hivi huyo mkulima kuwa ameshashindwa principle ya Resjudicata haimuzuii kufungua shauri sehemu nyingine, anaruhusiwa kufungua then upande wa pili ndo una jukumu la kwenda mbele ya Mahakama na kuraise hiyo issue ya Resjudicata na Mahakama ipitie Nyaraka na ijiridhishe then I rule out. Kwamba Stain alishindwa Africa Kusini haimanishi Mahakama za Canada zinajua hilo. Ni Mpaka pale upande wa pili utakapoijulisha kuwa swala hilo limeshaamriwa na Mahakama nyingine on Merit.

Narudia kama una akili, when It comes to legal issues utakuwa ni Mpumbavu wa mwisho Kama utachagua kumsikiliza na kuamini alichokisema Malisa badala ya Prof. Kabudi, narudia wewe utakuwa ni Mbumbumbu wa kutupwa, hata Kama Malisa angekuwa sahihi kiasi gani, hapa Kabudi anapaswa kusikilizwa.

The man has got credibility, acheni uzwazwa, Malisa aache uzwazwa, aache kuvamia vitu asivyovijua, Kama anapenda aende asome sheria apate credibility ya kuzungumza sheria, otherwise yeye ni Mpumbavu wa sheria hata angejitutumua kiasi gani.

Punguza Chuki na Mihemko, Jenga hoja imara kukosoa hoja ya Malisa sio kumshambulia Malisa!
 
IMG-20191125-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom