Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,327
- 10,736
Kuweka mashaka katika Imani yangu na Mungu na muamini..ukisema hayupo ...maanayake Nini?Kwani wapi nimetaka kumtoa mtu kwenye dini yake?
Hojaji iko palepale, na haijajibiwa.
Wewe unatafuta wafuasi wakuungana na Wewe....MIMI huko siwezi ABADANI KUJA.