Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
963
1,000
Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa.

Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye utani ndani yake. Roho yake ilikuwa ni nzuri tu na alizicheza vema siasa za mkoa huo.

Huyu mimi kupewa Mwanza ninaona anstahili kabisa kabisa - Watanzania tumpe mud an tuwe positive naye.

Yule aliyekuwa Iringa sijui bwana Hapi labda ndiyo ninaweza kutamka wazi inabidi ajilinde na kutunza hadhi yake kwa kuwa kiongozi mjifunzi na mwenye ushawishi hasi Zaidi! Ila Chalamila kwa kweli anastahili!
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,236
2,000
Chalamila yupo vizuri sana. Ninachompenda ni pale anapokuwa na style ya uongozi kama ya JPM.
Mungu amsaidie zaidi ndugu yangu, ALBERT CHALAMILA.
Tazama na ili jinga nalo, uyo jpm inaonyesha aliwashika masaburi yenu.

Dikteta lishajiozea uko chini ya ardhi, nyie mazuzu Bado mnaliogopa na kulinyenyekea.
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,806
2,000
Chalamila tulia basi, shobo za nn tena si ushateuliwa? Hapa mtandaoni unataka nn tena?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom