Tuachane na mambo ya zitto/cdm tujadili ya kitaifa

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,557
3,835
Wakuu
kwa wiki mbili sasa hapa jukwaani kumekuwa na mada mfululizo zinazo husiana na cdm vs zito,binafsi nadhani umefika muda tuachane na ushabiki wa kisiasa badala yake tujadiri mambo yanayolisumbua taifa kama,

kupanda kwa gharama ya umeme na sasa kuahirishwa kwa mara nyingine tena kutolewa kwa rasimu ya pili ya katiba.inavyo onyesha watu hawana uchungu na walala hoi wa taifa hili hivyo kujifungia na kutoka na aamuzi yanayo mkandamiza zaidi mnyonge

nawasilisha
 
CCM anashobokea suala hilo ili kufunika kupanda kwa umeme na issue ya mzee wa totoz Prof Kapuya ambae jana alitua kwa mbwembwe huku akipigiwa saluti na polisi badala ya kumkamatwa.
 
we umetumwa
 
skuizi hata hamu ya kuingia humu hamna kila kitu zito zito chadema chadema
 
CCM anashobokea suala hilo ili kufunika kupanda kwa umeme na issue ya mzee wa totoz Prof Kapuya ambae jana alitua kwa mbwembwe huku akipigiwa saluti na polisi badala ya kumkamatwa.

kula like yangu!
tunapotezwa kijinga na propaganda za kijinga ili watu flani wafanye mambo yao kirahisi kunahaja ya kubadirika
 
Back
Top Bottom