ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,739
Hamahama ya madiwani na wabunge wa mpinzani huenda isiwe na maana kama wananchi wapiga kura wakawa na mitizamo yao isiyoyumbishwa lakini kwa sasa baadhi ya watu mliobaki upinzani mnaona Kama ni figisu kutoka CCM kuwanunu viongozi wenu.tuangalie upande mwingine wa raia je ni kweli na wenyewe wanahongwa?
Tuseme tu ukweli mitaani huku Magufuli ndio anayefanya vizuri kisiasa na Wala msisisingizie kusitishwa kwa mikutano ya siasa ndio kumeathiri mabadiliko haya ya kisiasa.
Katika kundi la watu watano utakuta watatu wanamsifia Magufuli mmoja utakuta anamponda lakini moyoni anamkubali na mmoja utakuta ndio mbishi amekomaa kumpinga Magufuli.
Na utakuta wanasema kabisa maisha magumu lakini ni Bora iwe hivyo huku mkombozi Magufuli aendelee tu kuleta maendeleo.
Hata Mimi mwenyewe namaliza kwa kusema hela imekua ngumu lakini sioni Kama ni sababu ya kupinga anayofanya Magufuli naona kabisa hafanyi haya kwa ajili yake au familia yake bali ana uchungu sana na hili taifa.
Matumaini pekee yapo kwa Magufuli kwa Hali yoyote tutakayopita wenyenchi wengi tumeshaamua tutakuwa na rais bega kwa bega mlitaka demokrasia na ndio mnayoipata kila mtu ana Uhuru wake