Tuachane na madiwani tuzungumzie wananchi

ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,581
2,000
Hamahama ya madiwani na wabunge wa mpinzani huenda isiwe na maana kama wananchi wapiga kura wakawa na mitizamo yao isiyoyumbishwa lakini kwa sasa baadhi ya watu mliobaki upinzani mnaona Kama ni figisu kutoka CCM kuwanunu viongozi wenu.tuangalie upande mwingine wa raia je ni kweli na wenyewe wanahongwa?

Tuseme tu ukweli mitaani huku Magufuli ndio anayefanya vizuri kisiasa na Wala msisisingizie kusitishwa kwa mikutano ya siasa ndio kumeathiri mabadiliko haya ya kisiasa.

Katika kundi la watu watano utakuta watatu wanamsifia Magufuli mmoja utakuta anamponda lakini moyoni anamkubali na mmoja utakuta ndio mbishi amekomaa kumpinga Magufuli.

Na utakuta wanasema kabisa maisha magumu lakini ni Bora iwe hivyo huku mkombozi Magufuli aendelee tu kuleta maendeleo.

Hata Mimi mwenyewe namaliza kwa kusema hela imekua ngumu lakini sioni Kama ni sababu ya kupinga anayofanya Magufuli naona kabisa hafanyi haya kwa ajili yake au familia yake bali ana uchungu sana na hili taifa.

Matumaini pekee yapo kwa Magufuli kwa Hali yoyote tutakayopita wenyenchi wengi tumeshaamua tutakuwa na rais bega kwa bega mlitaka demokrasia na ndio mnayoipata kila mtu ana Uhuru wake
 
Aaron

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,015
2,000
Umekunywa chai au umeamkia kwenye gongo!!?
 
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,275
2,000
Wale raia waliobaki upinzani nao wahamie huko wakaunge juhudi za Mh
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
7,954
2,000
mtaa upi wanamkubali 4 kati ya 5?? labda mtaa wa lumumba.

achakumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa yeye mwenyewe anajua hakubaliki kabsaa kila mara anatuma makachero kuusoma upepo na ripoti zinakuja mzee hali ngumu ila kinachochangia ni chama.

wewe endelea kujidanganya badala uje na mpango mkakati mamna kukinusuru chama unakuja kusifu. huwa raisi anawashangaa sana nyie Vijana badala yakuwa msaada kwake ili akubalike nyie ndio mnakuwa chanzo cha kumchafua. kwasababu mnafanya vitu vinaleta chuki, hasira
 
Wangari Maathai

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
25,508
2,000
haya kachukue buku 7 yako lumumba
 
D

Domsel

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
660
1,000
Haaa ha ha katibu ndiye naona anajua hali halisi
 
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,649
2,000
Kamuulize katibu mkuu wako ana mtizamo gani!!!!!Yeye anaona wananchi wamekata tamaa!
 
wilcoxon

wilcoxon

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
853
1,000
Kamsikilize Dr Bashiru mwenye hofu na Mungu ameamua kuusema ukweli pamoja na kwamba mshahara wake wa mwezi kwenye chama anaweza kukulipa hiyo posho ya buku saba kwa miaka 10+ wewe ambae hiyo buku saba imekupa upofu.
 
ostrichegg

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,042
2,000
Hamahama ya madiwani na wabunge wa mpinzani huenda isiwe na maana Kama wananchi wapiga kura wakawa na mitizamo yao isiyoyumbishwa lakini kwa Sasa baadhi ya watu mliobaki upinzani mnaona Kama ni figisu kutoka CCM kuwanunu viongozi wenu.tuangalie upande mwingine wa raia je ni kweli na wenyewe wanahongwa?tuseme tu ukweli mitaani huku Magufuli ndio anayefanya vizuri kisiasa na Wala msisisingizie kusitishwa kwa mikutano ya siasa ndio kumeathiri mabadiliko haya ya kisiasa.katika kundi la watu watano utakuta watatu wanamsifia Magufuli mmoja utakuta anamponda lakini moyoni anamkubali na mmoja utakuta ndio mbishi amekomaa kumpinga Magufuli.Na utakuta wanasema kabisa maisha magumu lakini ni Bora iwe hivyo huku mkombozi Magufuli aendelee tu kuleta maendeleo.hata Mimi mwenyewe namaliza kwa kusema hela imekua ngumu lakini sioni Kama ni sababu ya kupinga anayofanya Magufuli naona kabisa hafanyi haya kwa ajili yake au familia yake Bali Ana uchungu sana na hili taifa.matumaini pekee yapo kwa Magufuli kwa Hali yoyote tutakayopita wenyenchi wengi tumeshaamua tutakuwa na rais bega kwa bega.mlitaka demokrasia na ndio mnayoipata.kila mtu Ana Uhuru wake
Tupia basi nakala ya utafiti ulofanya nasi tuupitie.
 
toroka uje mjini

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
1,586
2,000
ff22b0f1-5464-40e7-92f3-ead0e643076e.jpg

Chadema walitaka kiongozi mwenye sifa hizo
Sasa Mh Jpm ndio mwenye hizo sifa
Je kipi kingine wanachokihitaji??
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
3,928
2,000
Hamahama ya madiwani na wabunge wa mpinzani huenda isiwe na maana kama wananchi wapiga kura wakawa na mitizamo yao isiyoyumbishwa lakini kwa sasa baadhi ya watu mliobaki upinzani mnaona Kama ni figisu kutoka CCM kuwanunu viongozi wenu.tuangalie upande mwingine wa raia je ni kweli na wenyewe wanahongwa?

Tuseme tu ukweli mitaani huku Magufuli ndio anayefanya vizuri kisiasa na Wala msisisingizie kusitishwa kwa mikutano ya siasa ndio kumeathiri mabadiliko haya ya kisiasa.

Katika kundi la watu watano utakuta watatu wanamsifia Magufuli mmoja utakuta anamponda lakini moyoni anamkubali na mmoja utakuta ndio mbishi amekomaa kumpinga Magufuli.

Na utakuta wanasema kabisa maisha magumu lakini ni Bora iwe hivyo huku mkombozi Magufuli aendelee tu kuleta maendeleo.

Hata Mimi mwenyewe namaliza kwa kusema hela imekua ngumu lakini sioni Kama ni sababu ya kupinga anayofanya Magufuli naona kabisa hafanyi haya kwa ajili yake au familia yake bali ana uchungu sana na hili taifa.

Matumaini pekee yapo kwa Magufuli kwa Hali yoyote tutakayopita wenyenchi wengi tumeshaamua tutakuwa na rais bega kwa bega mlitaka demokrasia na ndio mnayoipata kila mtu ana Uhuru wake
Huna lolote mkuu mtajipendekeza sana
 
Top Bottom