Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,457
- 1,052
Nampongeza Mh RAIS, ndg Dr JPM kwa kuona wazungu kwa jina la wawekezazi wanavyonajisi nchi yetu. Kihistoria, hawa albino ni watu hatari sana na wanayofanya hapa si mapya na wala siyo mwisho wake. Hawa wazungu waliwahi kuiba nchi (stealing a nation) mchana kweupe (rejea mkasa wa Chagos Archipelago ambapo waingereza waliiuza nchi hiyo kwa wamarekani na wazawa wenye nchi yao wakafurushwa kama kuku mwitu. Hata baada ya kwenda mahakamani, wezi hao walisema hata kama hawakuwa na haki kisheria ya kutwaa nchi ile, bado hawawezi kuiachia, na hapa wanatoa visingizio kibao, kama alivyojaribu kufanya yule jamaa wa ACACIA.
Namshauri Mh Rais azidi kuwabana, kwamba usafirishaji wa madini kwa njia ya "mchanga" lazima kuwepo na mkataba mpya ambao serikali itapata 50% ya thamani ya madini yote yaliyoko kwenye huo mchanga. Hawataki kugawana, wakafie mbele.
Tokea madini haya yaanze kuchimbwa mwaka 1998, hali za watanzania zimezidi kudhoofika kwa kila namna. Leo hii wamebanwa wanaanza kelele.
Tueni tugawane, vinginevyo mtakosa vyote.
Asante JPM. Hata mimi ningelifanya hivyo Kama Rais. Najuwa kuna Watanzania kibao wanfikiri wazungu ni miungu, na watapiga kelele sana, wakihofia labda nchi itapata madhara. Labda niwaambie kuwa Tz inapata madhara makubwa zaidi kwa kupeleka madini yetu kwa njia ya wizi na hila kuliko kutua tukagawana.
Asanteni kwa kunisoma