Ttclbb, msaada wa haraka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ttclbb, msaada wa haraka!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Apr 16, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Heri kwenu wakkuu,
  Nataka kuweka 24hr free internet access ndani ya vyumba kumi vya wageni, hoteli iko mkoa wa kusini kabisa Tanzania (RUVUMA). Kwa broadband yenye kasi nzuri huku ni TTCL tu. Naombeni msaada kwa wale wanaotumia packets mbalimbali za ttcl, ni packet ipi inaweza kutosha wa matumizi ya kawaida (najua wateja wengine watatumia kufanya downloads kubwa na wengine watatumia kwa browsing na emailing kawaida tu). Je, kasi inayotumika kwa mteja wa package ya 40gb kwa 450,000pm inaweza kulinganishwa vp na mteja wa ded64k anayelipa 450,000pm?
  Natanguliza shukrani.
   
 2. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  well situmiii ttcl for sure ila nina ka experience na hayo mambo.... inavyoonekana issue kwako ni kuwa unataka kujua ni jinsi ipi utakayoweza kufanya ili uweze kubalance matumizi ya wateja bila kujali utanunua package ya GB ngapi kwa Bandwidth.... kuna njia tofauti ambazo unaweza ukabalance matumizi yako au ya wateja wako hasa kwasehem za public...

  1. kuna kitu kinaitwa bandwidth manager.... ni aina ya hardware au software ambayo ina manage matumizi ya bandwidth yako... kwa kukupa uwezo kuwa kufanya filtering, ya kuwa aina ipi ya traffic au protocol iruhusiwe kuingia au kutoka na kwa kiwango gani kwa kutumia IP address za host wako.... pia unaweza ukapangia watumiaji wako wapate throughput ya kiasi gani na kwa mda gani.... kwa mfano ikiwa nina wateja 5 ambao nahitaji wawe na BW ya 128k muxmum na minimum 64k kwa ninaweza nikawaweka wote kwenye group ya 128k au 256k wakawa wana share hiyo BW na nikaweka rules ya kuwa ikiwa kuna atakaye kuwa ana download file yoyote ile bila kijali ukubwa basi asiweze kuruhusiwa ku utilize BW yote kwa maana ya kuwa akiwa ameutilize BW yote 128k mathalani kwa dk1 basi automatic system inamshusha mpaka kwenye 64k ili wenzie wapate speed ile ile ya kawaida so kama file yake ingechukua 10mins kama angekuwa na thruput ileile ya 128k basi atatumia 20min au 30min akiwa kwneye thruput ya 64k..(and its not bad that much) kwani kumbuka ukiwa unadownload kitu kwa kawaida system inakuwa inatoa priority kutokana na aina ya traffic (tunaita QOS) iko busy ku serve wewe ambaye una request ya packet kubwa na wengine wanawekwa kwenye queue.. hapo ndipo watu wanapo experience slowness hasa katika zile nyakati tunazoita peak hours... pia unaweza ukatoa priority kwa protocol au trafiic za ambazo unajua hazitaleta congestion na ambazo watu engi ndio wanatumia... mf. instant messengers traffic POP# na SMTP kwa ajili ya e mails...na HTTP kwa ujumla.. kwani watu hawatalalamika kwa download sana kama atakavyolalamika akishindwa kuingia kwenye yahoo messenger au sykpe.

  JINSI YA KU SET UP NJIA HIYO YA KWANZA

  unaweza ukapata connection yako kutoka ttcl then ukatafuta hiyo device (BW manager) au ukatafuta software yake uka install katika computer yako yenye sifa ya kuwa server then internet yako ikawa inapita hapo kabla ya kwenda kwa watumiaji kwa ajili ya managing na monitoring. (RECOMMENDED)

  2. Njia nyingine ni kutafuta router ambayo ina baadhi ya features za kuweza ku monitor na ku manage bandwidth utilization kama njia ya kwanza ila ni integreted (built in features).. kinachofanyika una filter na kumanage bandwidth kwa watumiaji wake kwa kupitia IP address kama ilivyo kwa njia ya hapo juu... njia hii ni rahisi ila haikupi option nyingi zaidi kwa ina tegemea na vendors wa hiyo device wameweka features zipi ( more features more expensive the devcie becomes) na pia haitoi scallability so ikiwa utataka kufanya mabadiliko unaweza ukakuta device yako haita support then itabidi utafaute nyingine lakini njia ya kwanza unatumia computer yako kama server.. so unaweza ukabadili softwares kulingana na mahitaji yako bila kubadili computer.


  NATUMAI NIMEJITAHIDI KUELEZA KWA KADIRI Ya UFAHAMU WANGU najua wataalam wenyewe watatoa michango chanya zaidi


  +++++++++++++++++++
  IT TAKES 42 MUSCLES TO FROWN BUT IT TAKES ONLY 4 MUSCLES TO STRETCH YOUR HAND AND SLAP THE STUPID PERSON THAT MAKES A FOOL OF U... so Dont GET ANNOYED FOR STUPIDITY MANNAERS FROM A STUPID PERSON.. JUST KICK HIS AS*** and teach him/her lesson
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mkuu nashukuru sana kwa knowledge hii, hii itasaidia sana kumanae downloads kubwa kubwa kwa sababu nina uhakika baadhi ya wateja watapenda kudownload files kubwa kwa sababu tu internet ni ya bure. pamoja na hayo ningependa pia kufahamu ulinganifu wa pckg ya 40gb na 64k in terms of speed.
  ubarikiwe sana mkuu
   
 4. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mimi natumia TTCL BB kwa muda, nachoweza kukwambia ni kwamba dedicated connected ya TTCL ina speed ngogo sana ukilinganisha na backage bazed. Kwa mtu anayefanya biashara kwa mfano ya internet cafe, dedicated connection ni sababu tosha ya kukufukuzia wateja.

  Kama lengo lako ni kuuza huduma ya internet kwa watu, ningekushauri uchukue package ambayo itakidhi mahitaji yako. Dedicated connection haina speed nzuri.

  Kama alivyosema mwenzangu hapo juu, tumia bandwidth manager ku control bandwidth usange. Unaweza pia ku restrict download ya file kubwa, kwa mfano unaweza kuzuia mteja asi download file linalozidi 8MB in size - hii inasaidia kushusha matumizi ya bandwith na ku maintain quality of service.
   
 5. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #5
  Apr 28, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mkuu,

  Thanks soo Much for sharing.

  Swali :

  1. Kwenye Qos Filtering. Unaclassify vipi downloads. Is it UDP, HTTP traffic ?
  2. Is Bandwidth Manager comparable to the linux equivalent Master Shaper ?

  Thanks

  B.P 2010
   
 6. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  jibe swali la 1.
  QOS inaweza ikawa configure katika protocol ya ain ayoyote ile ...iwe UDP au TCP (kumbuka TCP ni protocol mama ya HTTP)

  Jibu swali la pili (2)

  i am a linux user( with different linux vendors OS) ila sina uelewa mkubwa sana wa master shaper kwa kuwa sijaitumia ila kwa jinsi ya ufanyaji kazi wake...yenyewe inatoa support kubwa kwa QOS na sio Bandwidth management in general... kwa maana ya kuwa kuna features nyingi unaweza ukazikosa kwanye master shaper

  NB: unaweza ukasetup linux yako ikawa BWM... as we have many LInux software with different capabilities (linux its a mult and yet flexible kernel that a developer can use to develop any kind of OS he/she wants and not to worry about any BUGS
   
 7. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ok ninaweza kukupa jibu fupi la aina hii:-

  chukulia bandwidth ni kama barabara ya magari... barabara ya $ ways kwa vyovyote inapitisha gari nyingi kuliko ya njia mbili....hiiyo ndio Bandwidth.... thruput ni mda ambao gari (bits) itatumia kutoka point A mpaka point B kwa kupitia hiyo barabara(Bandwidth) so kasi ya gari (bits) kufika mapema au kuchelewa inategemea ukubwa wa barabara(bandwidth) na Traffic iliyopo

  so 40gb obviously itakuwa na speed kubwa kuliko 64K ...

  hence 1gb = 1,000,000k
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bila shaka ulikusudia kusema 4 sio $
   
 9. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  yeah kaka....thnx for the correction hahaaaah
   
 10. T

  Tech Member

  #10
  May 25, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  this is simple, and I have been using TTCL in four relatively big offices in four different offices, each office is almost higher than the size you have indicated. go for TTCL business corporate that you shall be paying about $300 and get a both a router from TTCL and get one more wireless router for your users (make sure it is a password protected)

  Let me know if this help and if you can give me your telephone number, am gonna help you out
   
Loading...