TTCLBB; Msaada wa Haraka=Kama unaweza Kuchakachua karibu pia!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
781
Wakuu, mm ni mteja wa TTCLBB, Siku za hivi karibuni kumekuwa na tatizo kubwa la Network yao kuwa SLOW sana hasa nyakati za mchana, Kila napopiga simu kwao hakuna solution ya kudumu zaidi ya ku-unbind na kuniambia nirestart moderm (kama wanavosema wao); Napouliza ni lini watapata solution ya kudumu sipati majibu ya kuridhisha (wanasema kuna pressure kubwa). Kutokana na mahitaji yangu ya net kuwa mazito kidogo siwezi kuhamia mtandao mwingine ambao unaweza kunipa Gb200 Kwa bei Nzuri, nitashindwa. Tafadhali kwa wenzangu wanaotumia huduma ya hawa jamaa naomba tupeane mawazo namna gani naweza kujikwamua kutoka kwenye hili janga. Na kama kuna mfanyakazi wa TTCL ambaye anaweza "kunisaidia" kuingilia mlango wa nyuma tafadhali ani-pm. Pia nakaribisha mawazo kutoka kwa wadau juu ya altenative zilizopo (nipo Mkoani). Mods wa JF pia kama mnatumia provider ama package ambayo ni nzuri zaidi tujuzane jamani na mm nihamie huko!
 
angalia mkuu usije ukaipoteza hiyo line ya BB waliyokupa, wengine tumeomba kupatiwa hiyo huduma tumesubiri hadi
tumekata tamaa, kila siku wanakuja na majibu kuwa pot zimejaa, ukiachia tu inauzwa fasta na hutaipata tena.
 
angalia mkuu usije ukaipoteza hiyo line ya BB waliyokupa, wengine tumeomba kupatiwa hiyo huduma tumesubiri hadi
tumekata tamaa, kila siku wanakuja na majibu kuwa pot zimejaa, ukiachia tu inauzwa fasta na hutaipata tena.

Asante Mkuu, pamoja na kuwa line ninayo (Tena ninazo Mbili) lakn hainipi raha kabisa kwa sababu inanikwamisha kutenda kazi na kupelekea kupoteza pesa nyinngi kwa sababu yao tu; na mwezi ukiisha wanafuta bytes zangu zilizobaki!!! Kifupi NET yao iko slow mbaya mchana, ina lazimu kufanya kazi usiku!!!!!
 
TTCL EVDo mawilayani haishiki. Mi nipo Kilosa nashindwa ku2mia je kuna mwana jf anaweza kuchakachua ili ikamate mitandao mingine?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom