TTCL yairuka UDART tatizo la tiketi za mwendokasi, yasema mkataba wao unahusu kutoa huduma ya internet pekee

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,689
121,556
IMG-20180424-WA0007.jpg
 
Udart wanafikiri magu atawahurumia kwa sababu ya usukuma, nasikia pia makonda naye amewaruka kwa sababu walidhani kwa kuwa ni msukuma basi atawasaidia
 
Hatutakaa tuendelee kwakuwa tuna ujanja ujanja mwingi na tamaa ya utajiri wa harakaharaka kama vile tumeambiwa tunakufa jioni ya leo
 
Kwa hiyo UDART alivyompiga chini MaxMalipo hakua ameandaa mbadala wake?

Na kama tickets ni zile za kuchana kwenye vishina kama zamani, huo mtandao wanaousemea TTCL ni upi sasa? Kwa ajili ya nini?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom